Ushauri wa bure kwa form six waliomaliza na wanaotarajia kujiunga vyuoni kuhusiana na UDOM

Ushauri wa bure kwa form six waliomaliza na wanaotarajia kujiunga vyuoni kuhusiana na UDOM

Jamani nimechagua huko,Bachelor of science in Maths. Sasa mbona hivyo? KIDUSII,unanitisha ujue! Embu funguka zaidi useme tatizo ni nini ili tujue?

KIDUSI hana akili acha kumsikiliza alifukuzwa kwa kufanya fujo na kuendesha maandamano hajarudishwa hadi leo.NAKARIBISHA MASWALI JUU YA MTU HUYu.
 
Last edited by a moderator:
kidusi hana akili acha kumsikiliza alifukuzwa kwa kufanya fujo na kuendesha maandamano hajarudishwa hadi leo.nakaribisha maswali juu ya mtu huyu.

2pe taarifa zake
 
Umesoma historia ya Eng. ama umefanya Eng.,? Tuwekane sawa pleaz!
Coz wanasema Africa watu wanasoma historia ya Eng. ,hawasomi wawe ma Eng.
 
College of education ya udom iko vizuri sana,bt hzo colleges nyingne kama humanities na informatics nimeckia mara kwa mara zikilalamikiwa hata na wanafunzi husika wanaosoma hapo,bt icwe sababu ya kuwakatisha watu tamaa humu jaman.
 
Kama UDOM ni chuo kibaya kiasi hicho PRICEWATERCOOPERS wasingekuja kuchukua wahitimu wa kuwaajiri.
 
sababu zitolewe kuhusu chuo na sio kutoa conclusion. tueleze findings kwanza
 
Jamani udom iko poa isipokuwa Business courses tu hivyo wengine karibuni. Business wana lecture ambao wanaferisha sijui kisa totorials mfano mwaka huu Financial management 1 yenye wanafunzi 800 kuna A moja B+ tatu C$B Miambili wengine wote Supp
 
hahaaaa! Atakua madam Pendo 2 huyo! Ni nomaaaa
 
Wanafunz wanakimbilia UDOM kufuata majengo na bunge. Binafsi nakidharau sana hiki chuo, ni chuo chenye koz nying lakini kina waalim wakubebwa au wasiojiweza kitaaluma na wanaburuzwa na CCM, wanachuo wanafikira pevu kuliko walimu wao, Kwa kweli ndgu yangu au mtu anayethamin ushauri wangu hawez kwenda UDOM.
Chuo jina kile no content
Japo najua 20yrz later kitakuwa poa maana viongoz wake weng watakuwa wamebadilika.

Totoz kwa ajili ya waheshimiwa wa mjengoni
 
tatizo kubwa linalowasibu vijana mliopo udom, mnachanganywa na majengo wakati kichwan hakuna kitu, kwenye usanisi wa kazi vijana waliosoma udom ni wabovu sana, kuna hata baadhi ya mashirika yakijua tuu umesoma udom wanaku-discontinue bila hata kufanyiwa uhakiki.kuweni makini vijana na acheni kukurupuka.

Ifike sehemu ukweli ujitenge na uongo. Wew uongozi hauwez kukufanya ukakishusha kabsa hadhi. Sasa inakuaje unakatisha watu tamaa. Kiukweli udom inakua nzuri siku hadi siku, ingawaje huwezi kuwa saw na aliyeanza sasa hali ni nzuri. Tulioanza hapa ilikuwa ni shida but now mambo anaglau yako safi
 
Tatizo vijana wengi wa tz wakifika chuo wanawaza boom club totoz na bia linapokuja suala la kusoma wanataka faulu kwa pass nzuri ili wakitoka wapate ajira nzuri si kuwaza wapate uelewa sasa hata kama library ipo vitabu vipo na cousre outline anayo basi asipomuona lecturer kaingia lecture room anaanza kelele kupondea chuo husika haaaaaa haaaaa sasa ni hivi kama chuo hakina elimu nzuri haya wambie wadogo zetu waende wapi kusoma
 
UKICHAGULIWA we nenda kapige shule~ udom mi nimepiga pale B.COM account na ninakazi nzuri na sasa nimeitwa kwenye interview world vision ambako pia niliomba.Achana na porojo za kipumbavu za vijana wa udsm,watakupoteza
 
chuo kibya ni kile kisichotoa kozi outline na kukosa library, otherwise utakuwa mwanafunzi mwenyewe mbovu hutafaa popote.
 
Ningekuelewa kidogo ka ungeniambia ka hakuna Maktaba..kuhusu swala la walimu, Watanzania tunatatizo kubwa la kupenda kulishwa kila kitu ka wanafunzi wa primary..Ndo maana naikubali sana elimu ya Open university...
Ila mleta mada nadhani atakuwa ni mmoja wa wahanga wa mgomo mlitaka kukifanya chuo cha baba yenu..
Kuhusu siasa sitaki kuamini wanafunzi wote ni CCM, na kwa nini usifukuzwe ka unaleta siasa chuoni
Kwa ushauri wako wa kutaka watu wasiende kusoma kwa sababu zako hizo za kipuuzi, unataka kisiwe na wanafunzi hadi baada ya muda gani ili hayo mambo yatakuwa yamejirekebisha..
 
....i have not researched this....
So i have no right to speak..
Ila mwisho wa yote ni wewe mwenyewe kuamua kusoma..weka bongo yako vizuri
 
Ningekuelewa kidogo ka ungeniambia ka hakuna Maktaba..kuhusu swala la walimu, Watanzania tunatatizo kubwa la kupenda kulishwa kila kitu ka wanafunzi wa primary..Ndo maana naikubali sana elimu ya Open university...
Ila mleta mada nadhani atakuwa ni mmoja wa wahanga wa mgomo mlitaka kukifanya chuo cha baba yenu..
Kuhusu siasa sitaki kuamini wanafunzi wote ni CCM, na kwa nini usifukuzwe ka unaleta siasa chuoni
Kwa ushauri wako wa kutaka watu wasiende kusoma kwa sababu zako hizo za kipuuzi, unataka kisiwe na wanafunzi hadi baada ya muda gani ili hayo mambo yatakuwa yamejirekebisha..

great thinker bigup
 
Back
Top Bottom