Ushauri wa bure kwa Laizer wa Tanzanite

Ushauri wa bure kwa Laizer wa Tanzanite

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza.

TSH: 7.7B
Kodi makadirio: 25%: TSH 1.925B
Unabaki na: TSH 5.8B
Weka pesa fixed deposit 10%: TSH 578M kwa mwaka
Weka pesa fixed deposit Ukipata 12%: TSH 693M kwa mwaka

Tumia pesa unazopata kwenye fixed deposit kuishi na kujenga. Usitumie zaidi ya 90% ya faida jiwekee matumizi kwa mwaka yasizidi TSH 500M.

Ukifanya hizi hauta filisika kama wengi wanaokimbilia kununua vitu halafu hakuna pesa inaingia. Kama una pesa nyingi sehemu ya kuwekeza kubwa ni bank.
 
Kama unafikiri huu ni ushauri wa Laizer pekee basi hujanielewa!
 
Back
Top Bottom