Ushauri wa bure kwa Laizer wa Tanzanite

Ushauri wa bure kwa Laizer wa Tanzanite

Very 😂😂😂

Mimi nimekulia Arusha nakumbuka nikiwa mdogo kila mwaka kuna wachimbaji walikuwa wanapata mabilioni miaka hiyo lakini wengi wamefilisika kwasababu ya uwekezaji mbaya. Nimekuja hapa US nimeona kuna familia zina utajiri kwa kizazi cha nne yaani kuanzia 1930's kwasababu ya kuwekeza kwenye bank na kula riba.

Mtacheka lakini jamii nyingi sana nimeona duniani zimefaidia kwa sababu ya mafanikio ya watu wengine. Wafanyabiashara kwa ujumla wakisaidiwa ndiyo wataongeza mapato ya kodi na kodi zitaleta maendeleo kwa masikini. Maana vijana wengi wako mitaani kila siku kuomba omba pesa.

Tunatakiwa tujiulize ni kwanini watu wanakuwa masikini kila siku. Yaani tajiri wa marekani ndiyo pesa yake inatumika kutoa chanjo kwa wamassai wakati wana madini na kuna watu wanaibuka na pesa . Hata wenzetu wahindi wanatumia bank kwa faida zao.
 
Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza.

TSH: 7.7B
Kodi makadirio: 25%: TSH 1.925B
Unabaki na: TSH 5.8B
Weka pesa fixed deposit 10%: TSH 578M kwa mwaka
Weka pesa fixed deposit Ukipata 12%: TSH 693M kwa mwaka

Tumia pesa unazopata kwenye fixed deposit kuishi na kujenga. Usitumie zaidi ya 90% ya faida jiwekee matumizi kwa mwaka yasizidi TSH 500M.

Ukifanya hizi hauta filisika kama wengi wanaokimbilia kununua vitu halafu hakuna pesa inaingia. Kama una pesa nyingi sehemu ya kuwekeza kubwa ni bank.
Asante kwa mawazo mazuri. Bank gani nzuri mkuu?
 
Umesahau 10% inayoenda kwa wale wafanyakazi wanaomchimbia madini.
 
Na ile LUBEGA anaendelea kudumisha mila??? Hapana aisee 7B ningepiga suti mpaka mafundi wangeomba PO
Mkuu suti gani za kushonesha hapana mi ningeenda dukani kuchukua spesho kali balaa si unaelewa maana naona kama za mafundi zipo dolo dolo
 
wabongo wana vituko sana.
yule mzee ana mijengo mingi mojawapo ni ghorofa refu liko sakina.
Anamiliki mgodi,kabla ya kuanza biashara ya kuchimba madini aliuza ng'ombe wake 600 akapata mtaji wa kuchimba madini.

Leo hii aje kushauriwa na mtu anayemiliki tecno na bundle la 500,amekaa sebuleni kwa shemeji yake.Hiki ni kichekesho kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ndio umshauri? Laizer ana miaka 52 wake sijui wangapi na ana watoto 30. Huenda akaongeza wake zaidi etc. Usimchukulie poa aisee huyu jamaa. Tafuta Historia yake kabla ya kumpa ushauri.
 
wabongo wana vituko sana.
yule mzee ana mijengo mingi mojawapo ni ghorofa refu liko sakina.
Anamiliki mgodi,kabla ya kuanza biashara ya kuchimba madini aliuza ng'ombe wake 600 akapata mtaji wa kuchimba madini.
Leo hii aje kushauriwa na mtu anayemiliki tecno na bundle la 500,amekaa sebuleni kwa shemeji yake.Hiki ni kichekesho kwa kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣 🤣 🤣 wabongo kwa madongo siwawezi
 
Mkuu usije hata siku moja kuchukua mifano ya Ulaya au Marekani uje kuitumia huku utafeli vibaya sana.
Kwa mfano hiyo biashara ya kurundika pesa benki au kuwekeza hisa halafu ule riba huku bongo hutoboi.
Sababu kuu ni uaminifu kwa bongo ni zero,imagine umerundika mipesa yako benki halaf baada ya miaka 5 benki ikafirisika ndio imekula kwako.
Haya ukija upande wa hisa pia soko halieleweki soko likiyumba unabaki na mikaratasi yako nyumbani.

Back
Top Bottom