Msiofahahamu haya mambo,
Naomba nielekeze ndugu ni nani huyo ndugu ?Msiofahahamu haya mambo,
Huyu dada anaonesha kabisa ni project ya kitengo.
Hatua ya kwanza ni kumpatia recognition kwa umma kupitia unique identity. Kifuatacho ni matumizi ya toilet paper
Usikute hana ajira kitengoni lakini ni project yao
Anzia kusoma post namba moja hadi uliyoniqueoteNaomba nielekeze ndugu ni nani huyo ndugu ?
Ni vile wewe ni platinum member ila kama sio hivyo ningeweza kusema una roho mbaya ila basi tu ,nakuogopa sababu ya uplatinum wako mkuu ,ahsanteAnzia kusoma post namba moja hadi uliyoniqueote
MkuuNi vile wewe ni platinum member ila kama sio hivyo ningeweza kusema una roho mbaya ila basi tu ,nakuogopa sababu ya uplatinum wako mkuu ,ahsante
Umenionea kaka ungeniambia tu kuwa ni nani ila kusema niscroll toka juu mpaka chini ni uonevu wa kihisia uliozidi uwezo wangu kaka ni hivyo mkuuMkuu
Ongea chochote usihofu, hapa JF hizi labels hazitufanyi kuwa na haki zaidi ya members wengine.
MkuuUmenionea kaka ungeniambia tu kuwa ni nani ila kusema niscroll toka juu mpaka chini ni uonevu wa kihisia uliozidi uwezo wangu kaka ni hivyo mkuu
ππMkuu
Wewe ni mvivu kusomaπ
Ni kawaida wanawake hua hampendaniUshauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi.
Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno.
Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote anaonekana mchafu .
Kuna mwingine anaweza akaja na kigezo cha kumtetea eti anatembea na brand ya kiswazi ndio maana yupo hivyo, hii si kweli hata kidogo.
Wapo ambao ni wa kiswazi , lakini wanatazamika. Mariamu anatia aibu sana.
Huu ujumbe bila shaka utamfikia , atafute mtu amlipe awe anamvalisha kinyume na hapo atakimbiwa na wateja wake.
Ukishaanza kuwa mchafu mchafu unajitengenezea mazingira mpaka watu kuhisi hata chakula chenyewe huenda kinaandaliwa katika mazingira machafu.
Pesa anayo, asionee ubahiri aajiri tu mtu ,huko mbeleni akishajua kuvaa ataendelea kujivisha mwenyewe.
Acha tu mzee mwenzangu. Mimi uyo mariamu uswazi hata simjui. Infact ndio naliona ilo jina kwa mara kwanza, nikafikiri labda uzee ndio unaanza kuja kwaiyo trend za vijana zinanipitaWanawake mnajuana wenyewe. Sisi wanaume hatujui hayo. Hayatuhusu. Muwe mnaambiana huko huko jikoni au salon
Acha tu mzee mwenzangu. Mimi uyo mariamu uswazi hata simjui. Infact ndio naliona ilo jina kwa mara kwanza, nikafikiri labda uzee ndio unaanza kuja kwaiyo trend za vijana zinanipita
Analinda BRAND πππYupo rough sana.
Mmh,si avae tu kama mwanamke ndo uvaaj gan huoHuyu hapa
View attachment 3521986