Swali zuri sana mini maana ya wimbo mzuri???Wimbo mzuri ndio nini?
Azam Fc.We team gani kwanza, tuanzie hapo..!
Waache wahangaikeTatizo nyie mashabiki mnataka Rich aimbe aina moja ya mziki aliyokua anaimba ambao kimsingi haujamfikisha popote. Now kaamua kuacha kulialia kwenye nyimbo na kutoa nyimbo zenye ladha tofauti mnasema kaharibu, zile nyimbo za kulialia nani atasikiliza nje ya East africa??, muacheni avuke boda.
Mnatumia akili kwenye makoo.Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro.
Mavoko una nyimbo nyingi nzuri ulizoimba mwenyewe na kushirikishwa ila huu wa sasa mmmmh.
Kwa upande mmoja unaweza kusema hakuna kitu kama muziki mzuri na muziki mbaya, hii inategemea zaidi na mtazamo wa msikilizaji na yeye muziki mzuri anaudefine vipi, ndio maana nilitangulia kusema kwa "mtazamo wangu".Kwa muktadha huo kuna nyimbo nyingi ambazo hazikufanya vizuri sokoni lakini ni bora kuliko zilizopata nafasi na vivyo hivyo kuna wasanii wengi wazuri wanastruggle na wasanii wa kawaida "wametoboa".Wimbo mzuri ndio nini?
Kajiandae ndo nnKokoro ndo inayoleta ukinzani kwa darassa na MUZIKI lkn iz zingne tushazizika kabisa cjui kajiandae imejifia wapi
Wimbo Fulani wa wasanii wanaotengeneza mziki mzuriKajiandae ndo nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo wimbo wa kwanza wa rich kupigwa kwny vituo vkubwa vya nje so sijui ubaya wake uko wapi wakati ata kitaani unapigwa sana punguzen mihemuko.....
Hivi kwani Diamond ametoa ngapi mwaka huu?Huwez zungumzia positive ?au shida yako atoe nyimbo 20 kwa mwaka.?
Katoa nyimbo tatu kW huu mwakaHivi kwani Diamond ametoa ngapi mwaka huu?
Ooh, nilihisi ni nyingi zaidi. Ipi kati ya hizo ulizozitaja imekuwa na uhai wa muda mrefu ukiilinganisha na moyo mashine ya Ben Paul?Katoa nyimbo tatu kW huu mwaka
Make me sing
Kidogo
Salome
Una jingine
ZoteOoh, nilihisi ni nyingi zaidi. Ipi kati ya hizo ulizozitaja imekuwa na uhai wa muda mrefu ukiilinganisha na moyo mashine ya Ben Paul?
Uhai? Mkuu umelewa nini?Ooh, nilihisi ni nyingi zaidi. Ipi kati ya hizo ulizozitaja imekuwa na uhai wa muda mrefu ukiilinganisha na moyo mashine ya Ben Paul?
Hawezi kutoa nyimbo hadi uongozi useme hapo ndiyo Diamond atabaki kuwa on top wa bongofleva.
Hayo ndiyo madhara ya kusign mikataba bila kufikiria mbele.