Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

Tatizo nyie mashabiki mnataka Rich aimbe aina moja ya mziki aliyokua anaimba ambao kimsingi haujamfikisha popote. Now kaamua kuacha kulialia kwenye nyimbo na kutoa nyimbo zenye ladha tofauti mnasema kaharibu, zile nyimbo za kulialia nani atasikiliza nje ya East africa??, muacheni avuke boda.
 
Tatizo nyie mashabiki mnataka Rich aimbe aina moja ya mziki aliyokua anaimba ambao kimsingi haujamfikisha popote. Now kaamua kuacha kulialia kwenye nyimbo na kutoa nyimbo zenye ladha tofauti mnasema kaharibu, zile nyimbo za kulialia nani atasikiliza nje ya East africa??, muacheni avuke boda.
Waache wahangaike
 
Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro.

Mavoko una nyimbo nyingi nzuri ulizoimba mwenyewe na kushirikishwa ila huu wa sasa mmmmh.
Mnatumia akili kwenye makoo.
 
Wimbo mzuri ndio nini?
Kwa upande mmoja unaweza kusema hakuna kitu kama muziki mzuri na muziki mbaya, hii inategemea zaidi na mtazamo wa msikilizaji na yeye muziki mzuri anaudefine vipi, ndio maana nilitangulia kusema kwa "mtazamo wangu".Kwa muktadha huo kuna nyimbo nyingi ambazo hazikufanya vizuri sokoni lakini ni bora kuliko zilizopata nafasi na vivyo hivyo kuna wasanii wengi wazuri wanastruggle na wasanii wa kawaida "wametoboa".
 
Ooh, nilihisi ni nyingi zaidi. Ipi kati ya hizo ulizozitaja imekuwa na uhai wa muda mrefu ukiilinganisha na moyo mashine ya Ben Paul?
Uhai? Mkuu umelewa nini?
Hebu cheki hii feedback
1481283420054.jpg

Kidogo imeshinda best africa collaboration tizo za AELA
Mkuu ebu tupe mrejesho wa moyo mashine
 
Hawezi kutoa nyimbo hadi uongozi useme hapo ndiyo Diamond atabaki kuwa on top wa bongofleva.

Hayo ndiyo madhara ya kusign mikataba bila kufikiria mbele.

alipofika sasa bila kusign wcb asingefika miaka 800. hata Rihana hawezi kutoa nyimbo mpaka Jay Z aseme. it is all about business mkuu, watu wanafanya SWOT analysis before releasing songs, hii ndo maana ya management in music industry
 
Ni kweli kabisa

Ila naskia hawezi toa wimbo mpaka Tiffah aamue halafu amwambie mama yake.
 
Back
Top Bottom