Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
We kweli mbumbumbu, unatuletea picha ya kuedit humu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha mkuu usiniache hoi aisee..Hawa ndio kina Hari Keba na Dayumonde....
Ehhh, mbona wamekonda?
Kumbe hawana hela wanajisifia bure tu
Shabiki mnafikiHiyo picha imeeditiwa, hapo alikua Ali Kiba na Neyo. Mbona shabiki wa kutupwa hujui hilo?
Daah Afadhali nimesoma comment yako..Hiyo picha imeeditiwa, hapo alikua Ali Kiba na Neyo. Mbona shabiki wa kutupwa hujui hilo?
Loshindo gwake yonoyoJapo sijakutana nae ila jamaa anajiona na ananyodo sana sana. Kama angekua dem angeishia kupigwa mimba na kutelekezwa kwao. Hafu kanijifanya eti kalifunzwa vyema na mama ake. Nyanoko bhebhe...
Ali alikua anasema hashindani na mtu sisi tukaendelea kusisitiza kua anashindana na Diamond. Muda ukapita anaendelea kubisha na sisi tunaendelea kukazania kua anashindana na Diamond.
Kisha wimbo wa Mvumo Wa Radi ukaja ukatoa bonge la plot twist kwenye historia ya muziki bongo.
The whole time Ali alikua anashindana na FM Academia.
Kivipi?Kimoja kikubwa kuliko vyote japo ali ana uadhaifu wake
Ila nyimbo zake zinaishi
Japo sijakutana nae ila jamaa anajiona na ananyodo sana sana. Kama angekua dem angeishia kupigwa mimba na kutelekezwa kwao. Hafu kanijifanya eti kalifunzwa vyema na mama ake. Nyanoko bhebhe...
Wasukuma mmekazana kumsuta mwanaume mwenzenu.Loshindo gwake yonoyo