Ushauri wa bure kwa 'Rockstar' Ali Kiba

YouTube viewers 20 m..album a boy from Tandale unauza copies 2000.. kweli huu ushabiki maandazi
 
Mimi napenda kizuri si shabiki wa mtu.

Ila alikiba aache ujinga. Harafu jamaa ukweli ni kwamba hana ngoma nzuri anazojinadi kuwa ziko studio, (rejea wakati katoa seduce me. Àlisema ngoma inakuja hii ni stata tu. Mwisho wa siku kimyaa) analijua hilo na anaogopa kutoa nyimbo mara kwa mara coz anajua atachuja kwa sababu nyingi ni mbovu. Wasanii wakubwa kila siku wanatoa ngoma, rejea wiz kid, davido, chris brown kila leo ukiingia mtandaoni unakuta ngoma mpya.

Sababu zake hazinaga mashiko.

Ngoma hata ziwe nyingi kama nzuri watu watazipenda tu.

Kingine anajivunia kwa sababu mashabiki wenye chuki na upande wa pili ndio wanaompa jeuri na si kingine. Vinginevyo bila hila bifu kubali ukatae alikiba angebaki kuwa msanii wa kawaida sana.
 
Mnajisumbua bure tu watu wa Madale...Sisi mashabiki wa Kiba hatuna tatizo nae hata akitoa wimbo kila baada ya miaka mitano.

Nyie toeni nyimbo kila wiki
 
Japo sijakutana nae ila jamaa anajiona na ananyodo sana sana. Kama angekua dem angeishia kupigwa mimba na kutelekezwa kwao. Hafu kanijifanya eti kalifunzwa vyema na mama ake. Nyanoko bhebhe...
Loshindo gwake yonoyo
 
kumshangilia Ali kiba ni kukaribisha magonjwa ya moyo mwilini.Kiba alishaacha mziki,alirudishwa kinguvu ili apambane na diamond lakini ameishiwa pumzi mapema sana
 

una mafumbo balaa

ukweli Ali hana ushindani na diamond
 
Kimoja kikubwa kuliko vyote japo ali ana uadhaifu wake

Ila nyimbo zake zinaishi
 
Nimekudharau hapo mwishoni tu kutojua hata picha iliyoeditiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…