D
Naunga mkono hoja, TRA inayo kitengo cha elimu kwa mlipa kodi, kitu cha ajabu ni hakuna vipindi vyovyote scheduled vya elimu ya mpiga kura kwenye mainstream media zetu, zaidi ya matangazo na vipindi vya special events!, events ni events, public information programs ni vipindi vya kuelimisha umma kuhusu kodi, na matangazo ni matangazo!.Haya ni maoni na ushauri wangu wa Bure kwa TRA, naomba niwaahauri waweze kuanzisha program Maalum ya Certified Tax Educator (CTE), hii inatokana na Kwamba kwa sasa Watanzania wengi hawana Elimu ya kutosha kuhusiana na masuala ya kodi.
Tukio halisi ni la hivi karibuni lililotokea Dar es Salaam, ambapo wananchi wawili walifikishwa Mahakamani kwa kushindwa kutoa risiti ya EFD kwa wateja waliowahudumia kwa kutoa ya huduma ya kuuza Chipsi ambapo washitakiwa hapo wametakiwa kulipa Faini ya takribani ya kiasi cha Milioni 6 ( Milioni 4 na Milioni 2).
Hii Ina maanisha Kwamba Kuna haja ya haraka Sana Kwa TRA kuweza kuanzisha hii Program kwa kuandaa mtaala utakaosaodia wananchi kupewa elimu kuhusu Kodi.
My Take:
Kulipa Kodi ni jambo la uzalendo wa Kila Mtanzania, na watanzania wanatakiwa kuona Fahari kulipa Kodi kwa Serikali yao.
Naunga mkono hoja, TRA inayo kitengo cha elimu kwa mlipa kodi, kitu cha ajabu ni hakuna vipindi vyovyote scheduled vya elimu ya mpiga kura kwenye mainstream media zetu, zaidi ya matangazo na vipindi vya special events!, events ni events, public information programs ni vipindi vya kuelimisha umma kuhusu kodi, na matangazo ni matangazo!.
P