Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
kwa kanda ni changamoto ikiwa nafasi chache zikitangazwa.hakuna haja watu wote kwenda kujazana pale UDOM ati wanfanye mitihani ya makaratasi
interview zifanyike kwa kanda baasi
nazungumzia zile za kuanzia watu 700 na kuendeleakwa kanda ni changamoto nafasi chache zikitangazwa.
hapo sawanazungumzia zile za kuanzia watu 700 na kuendelea
true, lakini nilimaanisha uwepo wa muunganiko katika terms ya ajira tu,sio wholly institution mfano ajira za mkataba wanaweza kufanya joining force au hata permanent ili kuleta tija kwa taifa,TAESA ni taasisi iliyo sina ya wazari mkuu inayo husu vijana, kazi na watu wenye ulemavu, na waziri mwenye dhamana kwenye taasisi iyo ni ndalichako
Vitengo vya watu kula.Natumai mpo vyema leo katika namna kujenga na kutoa ushauri ningependa kuona UTUMISHI-TAESA wakijoin force kupunguza mlundikano wa interview na kupunguza cost kwa hizi taasisi mfano mdogo uandaaji wa mitihani,safari,pesa za chai n,k lakini pia itasaidia utumish kupeleka watu sahihi kwa kuwa tayar kazi data za utendaji utakuwa upo mikononi mwa TAESA.ni maoni yangu tu.
Bado ndugu, hauna point ya kushawishi unacho kitaka. Mfano ukiona kazi zimetangazwa sehemu si lazima kutakuwa na interview kwa nini wafanyishe interview na wasichukue kwenye data base ya utumishi watu wenye sifa kama wanaye mtaka.true,lakini nilimaanisha uwepo wa muunganiko katika terms ya ajira tu,sio wholly institution mfano ajira za mkataba wanaweza kufanya joining force au hata permanent ili kuleta tija kwa taifa,
kaka,kwani taesa hawafanyi usaili!jambo ni kwamba mtihani ni jambo lengine na uzoefu ni jambo lengine vijana weng wa taesa wanasifa zaid kwenye ajira,uzoefu na ujuzi ila utumishi ni usaili tu,pia sisemi kuwa utumishi wabase kwenye taesa no!ila wajaribu kuangalia upand huu itawasaidia kama idara ya serikali.Bado ndugu, hauna point ya kushawishi unacho kitaka. Mfano ukiona kazi zimetangazwa sehemu si lazima kutakuwa na interview kwa nini wafanyishe interview na wasichukue kwenye data base ya utumishi watu wenye sifa kama wanaye mtaka...
Oky sawa kaka.kaka,kwani taesa hawafanyi usaili!jambo ni kwamba mtihani ni jambo lengine na uzoefu ni jambo lengine vijana weng wa taesa wanasifa zaid kwenye ajira,uzoefu na ujuzi ila utumishi ni usaili tu,pia sisemi kuwa utumishi wabase kwenye taesa no!ila wajaribu kuangalia upand huu itawasaidia kama idara ya serikali.