Ushauri wa bure kwa waandishi wa habari kuhusu Hamas!!

Ushauri wa bure kwa waandishi wa habari kuhusu Hamas!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
WOW šŸ’„ Katibu wa Vyombo vya Habari wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt anavitaka vyombo vya habari vya kawaida kuripoti madai ya Hamas bila kuyathibitisha kwanza, kama wanahabari wa kweli wanavyopaswa kufanya siyo kueneza habari za uongo na upotoshaji!!

 
WOW šŸ’„ Katibu wa Vyombo vya Habari wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt anavitaka vyombo vya habari vya kawaida kuripoti madai ya Hamas bila kuyathibitisha kwanza, kama wanahabari wa kweli wanavyopaswa kufanya siyo kueneza habari za uongo na upotoshaji!!

Masikini hajui Arabs Muslim Allah kawaruhusu kuongopa kipindi cha Vita, Muslim wote wanaichukulia Israel ni Adui yao so wanashawishi hadi wasio waislam wadanganye on behalfs.

Habari ya Majuzi kuuwawa kwa Raia wanapokea Misaada ilizidishwa chumvi mpaka ikawa hailiki...

Huyu anasema wamekufa 31 mwingine anasema wamekufa 21 hadi Red cross nao wakasema 21 eneo la tukio lilikuwa a cctv live hakuna hata risasi iliyopigwa... Ujinga wa Hamas hukko mapangoni wakipigwa wakauwawa wanajigeuza raia na Shetan lao Aljazeera kila siku linaandika vifo si chini ya 30 leo wameandika karibu 100 wafa..

Hivi hawachoki na uongo?


Gaza

Israel kills nearly 100 people in Gaza in 24 hours, halts aid​


Live updatesLive updates,
  • list 1 of 10

    Published 3 minutes ago3m ago

    Hospitals struggle to treat patients with heavy bleeding after drone attacks​

  • list 2 of 10

    Published 13 minutes ago13m ago

    Elderly man from Gaza dies in Israeli custody​

  • list 3 of 10

    Published 33 minutes ago33m ago

    Israel destroyed 60 percent of equipment in Gaza’s blood banks, labs: Ministry​

  • list 4 of 10

    Published 48 minutes ago48m ago

    Israel’s latest actions in Gaza ā€˜intolerable’: UK’s Starmer​

  • list 5 of 10

    Published 1 hours ago1h ago

    Israel kills two Palestinians in northern Gaza’s Jabalia refugee camp​

 
Hayo mangine watajuana Hamas wenyewe.Ninachotaka kusikia ni magaidi wanagawiwa mikong'onto tu.
 
Pale Bbc london wamejazana waarabu wapalestina 😁😁

Waingereza wamekuwq ******* mno
 
Waarabu mabingwa wa uongo na propaganda.Chombo chao cha habari aljazeera hakijawahi kuongea lolote jema kuhusu Israel
Hata bbc world imeshakuwa ya ******* ipo biased sana kuhusu israel

Hii ni kwasabu waarabu wanatumia pesa nyingi kutangaza biashara yao ya usafiri wa anga
 
Back
Top Bottom