Wao kila siku wameuwawa wanawake na watoto....! Hata week ijayo huwezi kusikia hata hamas mmoja kauwawa. Wakati hamas wanauliwa kila sikuWaarabu mabingwa wa uongo na propaganda.Chombo chao cha habari aljazeera hakijawahi kuongea lolote jema kuhusu Israel
Masikini hajui Arabs Muslim Allah kawaruhusu kuongopa kipindi cha Vita, Muslim wote wanaichukulia Israel ni Adui yao so wanashawishi hadi wasio waislam wadanganye on behalfs.WOW 💥 Katibu wa Vyombo vya Habari wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt anavitaka vyombo vya habari vya kawaida kuripoti madai ya Hamas bila kuyathibitisha kwanza, kama wanahabari wa kweli wanavyopaswa kufanya siyo kueneza habari za uongo na upotoshaji!!
Hata bbc world imeshakuwa ya ******* ipo biased sana kuhusu israelWaarabu mabingwa wa uongo na propaganda.Chombo chao cha habari aljazeera hakijawahi kuongea lolote jema kuhusu Israel