Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 680
kama mwanajamvi napenda kutoa ushauri kwa waliochaguliwa chuo chochote cha moshi yaaani wale wa MUCCOBS YAANI ushirika,MWENGE,SMMUCCO kuwa wawe makini sana wanapoingia chuoni hasa katika suala la kununua msosi.wafanyabiashara wa kichga ni wajanja sana wanapandishaga bei ya chakula wanauza buku jero buku mbili kwaiyo angalia na bei ya chakula... pia suala la kupelekwa chuo kama haujui unaweza kuzungushwa mji mzima na kudaiwa hela nyingi mno kwaiyo umakini unatakiwa...