Ushauri wa bure kwa waliochaguliwa chuo chochote moshi

Ushauri wa bure kwa waliochaguliwa chuo chochote moshi

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
kama mwanajamvi napenda kutoa ushauri kwa waliochaguliwa chuo chochote cha moshi yaaani wale wa MUCCOBS YAANI ushirika,MWENGE,SMMUCCO kuwa wawe makini sana wanapoingia chuoni hasa katika suala la kununua msosi.wafanyabiashara wa kichga ni wajanja sana wanapandishaga bei ya chakula wanauza buku jero buku mbili kwaiyo angalia na bei ya chakula... pia suala la kupelekwa chuo kama haujui unaweza kuzungushwa mji mzima na kudaiwa hela nyingi mno kwaiyo umakini unatakiwa...
 
Shukran kwa taarifa mkuu kwani bei ya msosi ni kiac gani kwa kawaida?
 
Wachaga nimekua nao,nimesoma nao na nakaa nao,ujanja wao kwangu kwishn so sinashaka na hilo.
 
mmmh! Hii jf sasa imepata wenyewe! Tahadhari kama hizi wenzio tulikua tukipewa tulipoenda form one boarding enzi hizoo! Kumbe leo vyuoni nao mnapewa?
 
Back
Top Bottom