USHAURI wa Bure kwa WanaSimba niwakati sasa Michael Wambura na katibu Mwina Kaduguda nyumba

USHAURI wa Bure kwa WanaSimba niwakati sasa Michael Wambura na katibu Mwina Kaduguda nyumba

simba kwa sasa haihitaji kuongozwa kwa mfumo wa sasa...simba inabidi ibadilike iwe kampuni watu wawekeze pesa zao pale timu iendeshwe kibiashara kama TP Mazembe au BARCELONA. ..
 
m pira kwa sasa ni pesa..hao kina wambura hawatakuwa na jipya....tubadili. timu i we kampuni tumpe Tajiri MO alafu tuone simba itakavyokuwa tamu
 
Wambura mtu wa Mpira anajua fitina za Mpira, Simba wakati ule walikosea sana kumletea figisu figisu kisa wale jamaa wa Mpira pesa pale Mikumi walikuwa wanataka mtu wao apite.
 
....yale matapeli yalitudanganya pesa za MO ndogo,eti Simba ina thamani zaidi ya zile bilioni 10!, kwanini wao wasingeweka bilioni 20 basi wachukue hiyo timu...Simba imekuwa ya kusubiri kuchukua wachezaji wanaoachwa na timu kubwa siku hizi,halafu tunataka kombe!!!
 
hao wambura na kaduguda kwa nyakati tofauti walikuwa viongozi wa simba ni kitu gani cha maana walichoacha kuna watu wengi wanaweza kuongoza simba tatizo wanachama na hao makomandoo wenu ndio wanaiua simba
 
Umesema kweli mwanasimba Michael Wambura vs Simba wa Yuda hakika ubingwa msimbazi
 
Back
Top Bottom