Ushauri wa bure kwa 'Wanawatumbua' Wenzao hapa duniani

Ushauri wa bure kwa 'Wanawatumbua' Wenzao hapa duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao kwenda Kuwajibika kwa Siku hiyo kwani kuna Watu mmewaumbua vibaya sana hivi karibuni kwa Kuwatumbua huku mmoja akiwa ndani ya Meli akizungumza na Madaktari wa Kigeni kama Dally Kimoko wako au hana na mwingine akiwa Mlimani City anatoka Msalani 'Kuukweka' kidogo baada ya Kuvimbiwa kwa Uroho ( Umelo ) wake alionao.
 
Back
Top Bottom