Ushauri wa Bure kwa Wasafi FM. Mnachofanya sio utamaduni wa Kitanzania

D

DeletedMember281674

Guest
Kwa hichi kinachoendelea katika Radio ya Wasafi FM, nawashauri muweze kufunga tu moja Kwa moja hii redio.

Haiwezekani Asubuhi watu tumeamka tunawasha radio zetu, ili tupate habari mbalimbali ikiwemo za Magazeti nyie mpo busy mmefungulia nyimbo za hip-hop, nyimbo za night club, nyimbo za kwenye ma-bar wakati

Asubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.

Badilikeni au fungeni kabisa hiyo radio.

Nawasilisha
 
Kwan Huwez kufatilia radio zingine?

Huo utamaduni kuwa kwa kila Mtanzania umeanza lini, mbona mm sipo hvy?
 
Asubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.
Tafuta hela Ndugu waje kukusalimia.. usisahau hawaji kukusalimia wewe wanakuja kuzisalimia hela zako
 
Kwa hichi kinachoendelea katika Radio ya Wasafi FM, nawashauri muweze kufunga tu moja Kwa moja hii redio.

Haiwezekani Asubuhi watu tumeamka tunawasha radio zetu, ili tupate habari mbalimbali ikiwemo za Magazeti nyie mpo busy mmefungulia nyimbo za hip-hop, nyimbo za night club, nyimbo za kwenye ma-bar wakati

Asubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.

Badilikeni au fungeni kabisa hiyo radio.

Nawasilisha

Umepata nakala ya Leseni yao labda? Ukaona kwamba wamevunja vipengele? Kuna habari wasafi kweli?
 
Asubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.

Badilikeni au fungeni kabisa hiyo radio.

Nawasilisha
Hayo ni mambo ya zamani sana, Siku hizi habari zinapatikana muda wote.
 
Mbona Radio ziko nyingi, kama hujaridhika na huduma za Wasafi hamia kituo kingine
 
Back
Top Bottom