D
SijafahamuLeseni Yao ya uendeshaji Biashara ni kutoa habari ama kutoa burudani? Tuanze hapo kwanza.
Tafuta hela Ndugu waje kukusalimia.. usisahau hawaji kukusalimia wewe wanakuja kuzisalimia hela zakoAsubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.
Tafuta hela Ndugu waje kukusalimia..
Uliza kwa wahusika. Kisha urudi hapa tuyajenge. Asubuhi njema.Sijafahamu
Wenye hela kila mida kwao ni night club sababu hela zipo tu hana muda wa kuwaza Magazeti sijui yamefanyaje kituo cha daladala.. tafuta hela upunguze malalamiko na kuzungumza sana hela inaongeaSawa Tu
Kwa hichi kinachoendelea katika Radio ya Wasafi FM, nawashauri muweze kufunga tu moja Kwa moja hii redio.
Haiwezekani Asubuhi watu tumeamka tunawasha radio zetu, ili tupate habari mbalimbali ikiwemo za Magazeti nyie mpo busy mmefungulia nyimbo za hip-hop, nyimbo za night club, nyimbo za kwenye ma-bar wakati
Asubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.
Badilikeni au fungeni kabisa hiyo radio.
Nawasilisha
Tafuta hela Ndugu waje kukusalimia.. usisahau hawaji kukusalimia wewe wanakuja kuzisalimia hela zako
Hayo ni mambo ya zamani sana, Siku hizi habari zinapatikana muda wote.Asubuhi utamaduni wa watanzania ni kutaka habari mbalimbali na ndiyo maana asubuhi utakuta watu wengi sana vituo vya daladala wakisoma vichwa vya habari za Magazeti kwenye zile meza za Magazeti, nyie mpo busy kutulingishia muziki wa night club.
Badilikeni au fungeni kabisa hiyo radio.
Nawasilisha
Namini nilitaka kuuliza swali kama hilo umeniwahi.Ila kwenye hii nchi Kuna watu mna moyo hv kwel Kuna mtu anapata wasaa wa kusikliza redio za bongoland
Kumbuka watu wa zamani hizo bado wapo.Hayo ni mambo ya zamani sana, Siku hizi habari zinapatikana muda wote.