Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania.

Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi.

Hivyo ajali nyingi zimekuwa zikiongezeka bila ya kupungua. Sasa nina ushauri kama ifuatavyo:- Serikali ichukuae uamuzi mgumu wenye ghara ma kubwa ya kuweka CAMERA kwenye njia kuu muhimu mfano. Dar - Tunduma, Morogoro - Mwanza, Dar - Arusha na Moshi na kwingineko meneo watakoona inafaa.

Kutokana na zoezi hili camera zitarekodi kosa la mtuhumiwa na atakapofika kituo kinachofuata ataelezwa kosa lake na kulipa faini yake.

Utaratibu huu unatumika nchi ya Rwanda na hakuna askari barabarani anayesimamisha magari. Fedha nyingi zinaingia mifukoni mwa Maaskari kwa mtindo wa utaratibu wa sasa.

Nashauri pia tukajifunze kule Rwanda waliwezaje kufanikiwa kwa utaratibu huu.
 
Kikubwa zaidi ,hii wiki nenda kwa usalama na vielelezo vyote vya kukuaminisha wewe ni dereva bila hivy mtanipa hela ya ulanzi kwa nguvu
 
Taa za Kimara Bucha, haziwakI, inaelekea wiki sasa! TANROAD watashtuka baada ya daMa za watu kumwagika pale.

Mbaya zaidi hakuna hata trafic anaye ingoza magari. HATARI SANA
 
Na watakuwa wamemind maana ilikuwa ukiwapa 5000 hawarudishi chenji, lakini mwaka huu buku 5 teena online unalipa. Wamenuna hao control namba tuu wanajishika shika.
 
Ni lini tutaanza kukamatwa kwa sisi wenye magari ambayo hayajakaguliwa?
 
Back
Top Bottom