Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari zenu vitasa wa jangwani,
Wachezaji wengi wa Afrika hamuelewi suala la contract extension na new player registration,,,ni mazoea tuu huku Afrika kwamba wachezaji wanacheza mpka mkataba unaisha alafu wanadai signing fee ili asajiliwe kama mchezaji mpya.
Tofauti na ulaya ambapo mchezaji akiongeza mkataba hapewi signing fee sababu ni mchezaji wa timu hiyo, lkn Afrika tumelemazana kiasi ambacho wengi wanamaliza kabisa mkataba alafu wanataka kusajiliwa upya kwa kupewa na signing fee as if ni wachezaji wapya, najua soka ni maisha yenu brothers.
ila kama jamaa wamewapa kiasi flani kinachoridhisha chukueni msinye kataba,vinginevyo mkatafute changamoto sehemu nyingine,,,mnachohitaji sio haki ni favor kama ukibaki kwa timu ile ile,,,ila kama mkihama huko mnapokwenda kama wachezaji wapya signing fee inakua haki yenu,,,kwa contract extension sio lazima kupewa ndio utaratibu.