Ushauri wa bure kwa Yondani na Juma Abdul

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari zenu vitasa wa jangwani,

Wachezaji wengi wa Afrika hamuelewi suala la contract extension na new player registration,,,ni mazoea tuu huku Afrika kwamba wachezaji wanacheza mpka mkataba unaisha alafu wanadai signing fee ili asajiliwe kama mchezaji mpya.

Tofauti na ulaya ambapo mchezaji akiongeza mkataba hapewi signing fee sababu ni mchezaji wa timu hiyo, lkn Afrika tumelemazana kiasi ambacho wengi wanamaliza kabisa mkataba alafu wanataka kusajiliwa upya kwa kupewa na signing fee as if ni wachezaji wapya, najua soka ni maisha yenu brothers.

ila kama jamaa wamewapa kiasi flani kinachoridhisha chukueni msinye kataba,vinginevyo mkatafute changamoto sehemu nyingine,,,mnachohitaji sio haki ni favor kama ukibaki kwa timu ile ile,,,ila kama mkihama huko mnapokwenda kama wachezaji wapya signing fee inakua haki yenu,,,kwa contract extension sio lazima kupewa ndio utaratibu.
 
Topolo huwa hawaeleweki hata hiyo nyingine ya Contract Extension fee unaweza kuta hawakupi ,so inatakiwa kuishinao kiakili sana
 
Kusinya kataba na TOPOLO ni ujinga, ni Bora ukose tuu timu ya kucheza! Cc Shadeeya
Hapa ni chuki tu umeendekeza Mtani na si uhalisia wa mambo

Labda Nikwambie tu katika vilabu vinavyootwa sana na wachezaji hapa nchini basi Timu ya Wananchi nayo ni moja wapo na ndio sababu hata Tshishimbi alipobeep na sisi kumpigia mwisho wa siku akabaki kutoa kauli za huruma tu huku dhahiri akionyesha kaumia kuachwa na Wananchi..
 
Mleta thread unachanganya mambo, kuna contract extension kwa mchezaji ambaye mkataba wake uko ndani ya muda.

Kwa mchezaji ambaye mkataba umeisha, huyo mchezaji yuko free, anatakiwa kusign mkataba mpya.

Wenzetu wana utaratibu wao, kuna kitu kinaitwa signing bonus. Nafikiri hii ndiyo hiyo ambayo Bongo tunaitumia.

Na kwa timu za wenzetu unaweza usipewe hiyo lakini ikaingizwa kwenye mshahara, na hapa timu inafanya consideration kwamba ilipata nafuu kwenye gharama ya usajili, hivyo inamlipa mchezaji kwa njia ya mshahara mnono.
 
Suala la Yondani na Juma Abdul na hata Tshishimbi mbona lipo wazi sana ni kipofu tu ndio anaweza asione. Kiufupi ni kuwa kwa uongozi wa sasa wa Yanga hao wachezaji sio kipaumbele tena wabaki au waende kwao sawa tu. Ni kama uongozi ulikuwa umeshajiandaa muda mrefu kuanza msimu mpya bila wao lakini watu wengi na hata wachezaji wenyewe hawakuliona hilo katika jicho la tatu. Waswahili wanasema akufukuzaye hakwambii toka bali utaona tu mambo yanaanza kubadilika.

Hapo shida ipo zaidi kwa Tshishimbi na Yondani kwani Juma Abdul bado anaweza kucheza soka la kiushindani kwa zaidi hata ya miaka miwili ijayo tena hata kwenye hivi vilabu vikubwa Simba na Azam hata akaitwa timu ya Taifa. Kwa Yondani yeye umri ni tatizo labda ajiunge na hizi timu za kawaida za ligi kuu amalizie soka lake. Ila Tshishimbi yale majeruhi yake ya mara kwa mara nayo ni tatizo kupata timu kubwa.

Vinginevyo wasalimu amri wakasaini tu hiyo mikataba waliyopewa na Uongozi.
 
upo sahihi mkuu
 
Hapa ni chuki tu umeendekeza Mtani na si uhalisia wa mambo

Labda Nikwambie tu katika vilabu vinavyootwa sana na wachezaji hapa nchini basi Timu ya Wananchi nayo ni moja wapo na ndio sababu hata Tshishimbi alipobeep na sisi kumpigia mwisho wa siku akabaki kutoa kauli za huruma tu huku dhahiri akionyesha kaumia kuachwa na Wananchi..
Alijua akiachwa Yanga ataenda Simba, hivo kuumia kwake ni kutokuonekana dalili za kwenda SimbA.
 
Mleta thread unachanganya mambo, kuna contract extension kwa mchezaji ambaye mkataba wake uko ndani ya muda.

Kwa mchezaji ambaye mkataba umeisha, huyo mchezaji yuko free, anatakiwa kusign mkataba mpya.

Wenzetu wana utaratibu wao, kuna kitu kinaitwa signing bonus. Nafikiri hii ndiyo hiyo ambayo Bongo tunaitumia.

Na kwa timu za wenzetu unaweza usipewe hiyo lakini ikaingizwa kwenye mshahara, na hapa timu inafanya consideration kwamba ilipata nafuu kwenye gharama ya usajili, hivyo inamlipa mchezaji kwa njia ya mshahara mnono.
Hongera mkuu, sema sasa sijui ka atakuelewa.
 
Utopolo ni shida waulizeni azam walipojifanya wanaleta mambo ya ulaya Manula, Kapombe, Boko na Nyoni wanabaki kusema walikuwa wachezaji wetu.
Manyani fc wakubali hawana pesa za kushindana usajili
 
ila kama jamaa wamewapa kiasi flani kinachoridhisha chukueni msinye kataba,vinginevyo mkatafute changamoto sehemu nyingine,,,mnachohitaji sio haki ni favor kama ukibaki kwa timu ile ile,,,ila kama mkihama huko mnapokwenda kama wachezaji wapya signing fee inakua haki yenu,,,kwa contract extension sio lazima kupewa ndio utaratibu.
point. shukrani mzee
 
Hapa ni chuki tu umeendekeza Mtani na si uhalisia wa mambo

Labda Nikwambie tu katika vilabu vinavyootwa sana na wachezaji hapa nchini basi Timu ya Wananchi nayo ni moja wapo na ndio sababu hata Tshishimbi alipobeep na sisi kumpigia mwisho wa siku akabaki kutoa kauli za huruma tu huku dhahiri akionyesha kaumia kuachwa na Wananchi..
Na sasa anaomba asamehewe arudishwe kundini, teh!
 
Back
Top Bottom