Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Ni kweli cdm wanaweza wasishinde uchaguzi, ila sio kwa sababu unazosema ww.
CHADEMA wanacheza ligi ya mchangani huku wakitegemewa wawe top dogs?Kwamba Lissu alirudi jana salama na kufika nyumbani kwa hali ya amani vile, si bure. Kongole kwake na ma strategists wake. Wako vizuri ila mechi ndiyo hiyo inaendelea.
Msituangushe.
Nidhamu top to bottom haiwezi kuchukuliwa poa.
It is worse than "an opportunity missed."Hata "Uhuru" leo this is the combination we missed.
It is worse than "an opportunity missed."
Kila mtia nia wa siasa za Marekani siku hizi, awe Republican au Democrat hao akina 'Axerod' ni lazima wawepo. Clinton wote wawili walikuwa na wa kwao, na hivyo hivyo akina Bush na wengineo.It should not have been.
Makamanda lazima kujifunza. Obama pamoja na yote asingefika pale bila "Axelrod" na anajua hivyo.
Ukweli mchungu ndiyo sababu tuliwapoteza wazee hawa:
Siasa za Lowassa, Sumaye na Membe - upinzani
Hata 2015 tungechukua nchi.
Tupambanie ushindi wa wananchi it is possible. Tuwekeni ubinafsi pembeni.
Ndoto za Alinacha hizi! Nyumbu bwana, juzi tu walikuwa wanadeki barabara na mabadiliko ya kuzungusha mikono! Mkae mkijua mwaka huu mkipata asilimia 2 ya kura mfanye na sherehe, maana tutawapiga mapema kweupeeee!"Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!"
Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema:
"Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo"
Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko vizuri. Visiki vya mpingo vipo. Changamoto ni kukaa chini na kujipanga.
Ikumbukwe kuwa pamoja na yote, Barrack Obama pekee na Democrats, asingeliona Ikulu ya Whitehouse bila ya gwiji huyu kama 'chief strategist' wake:
David Axelrod (political consultant) - Wikipedia
Kwamba Lissu alirudi jana salama na kufika nyumbani kwa hali ya amani vile, si bure. Kongole kwake na ma strategists wake. Wako vizuri ila mechi ndiyo hiyo inaendelea.
Msituangushe.
Nidhamu top to bottom haiwezi kuchukuliwa poa.
Safari ya kuchukua Dola October haiwezi kuwa lelemama. Nani atakubali kuiachia ikulu kirahisi?
Nini kwa umma na nini vya ndani ni muda wa kuvi enforce vilivyo (organization).
Ndugu wapenda mageuzi tusiwe kama wagema.
Tembo ubora wake, inawezekana kuubakiza kuwa ule ule.
Tunaweza kutimiza wajibu wetu ndani ya taratibu zilizopo, responsibly.
Hii nchi ni yetu sote na sote kabisa tunalo jukumu la kuyapigania maendeleo yake kiuchumi na hata kidemokrasia.
Apumzike mzee wetu Rais mstaafu hayati Mkapa.
Mungu ibariki Tanzania.
Kila mtia nia wa siasa za Marekani siku hizi, awe Republican au Democrat hao akina 'Axerod' ni lazima wawepo. Clinton wote wawili walikuwa na wa kwao, na hivyo hivyo akina Bush na wengineo.
Hata hapa jirani Kenya, 'Cambridge' walicheza Jubilee, na haikuwa kazi ndogo.
Hiyo 2015 unayoizungumzia, kwa kiasi kikubwa ushindi aliupoteza mgombea mkuu, Lowassa. Kampeni yake ilikuwa ni ya kigonjwa sana. Hakuwa na nguvu, kitu kilichowafanya watu waamini ni mgonjwa tabani.
Lowassa angekuwa ni yule Lowassa waziri mkuu wa Kikwete, mwenye mwonekano ule ule, hata Magufuli angepiga 'Push up' mara mia asingekwenda popote.
Kwa hiyo mchango wa CHADEMA kama chama kwenye kushindwa kule ulikuwa ni mdogo kulinganisha na mgombea kiti cha urais mwenyewe.
Kumbuka, Lowassa alitakiwa aje na kundi kubwa sana toka CCM, hilo pia halikutokea baada ya kuona upepo wa kampeni ulivyokuwa unaendelea kujionyesha.
Wewe lumumba huna hojaSiku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Ndoto za Alinacha hizi! Nyumbu bwana, juzi tu walikuwa wanadeki barabara na mabadiliko ya kuzungusha mikono! Mkae mkijua mwaka huu mkipata asilimia 2 ya kura mfanye na sherehe, maana tutawapiga mapema kweupeeee!
Kama ameliliwa na demu mmoja basi hana issue. Ndiyo maana hata uwanjani kulijaa watoto wa shule za msingi. CCM kwa kweli hamkubaliki, yaani hata misiba mnabeba watu kwa malori!!?hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia
"Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia"Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Tunaweza kupata tunachotaka bila kupambana na kina mamboleo wala bila kuwa na tume huru.
Kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. Siamini kama Lissu na risks zote na exposure yote, na hata ile rejeaaji kuwa hayajui hayo.
Believe me wale jamaa zetu wamenuna kweli kweli.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nilivyosoma kabla hata ya kuangalia avatar nikajua huyu lazima ni Matanga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni hivi:
Inaelekea CHADEMA hawakuelewa maana ya nafasi adimu kabisa iliyotokana na ujio wa Tundu Lissu na maana ya hali ile iliyoonekana kuwepo.
Hawajajua maana yake ni nini, kwa sababu wangejua, huu ndio mwanya mzuri sana waliotakiwa kuutumia vizuri sana kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Wakati huu sio wa kutafuta kuonyesha ubabe au kufanyiwa ubabe ili upate huruma za wananchi. Yaliyokwishawatokea yanatosha sana kuwapa huruma za wananchi kwenda mbele.
Wanachotakiwa sasa kuwaonyesha wananchi ni ukomavu, kuwaonyesha wananchi kwamba wapo tayari kupokea madaraka.
Sio wakati tena wa kuwindana na CCM nani aonekane mbabe au munewa.
CCM sasa watatumia makosa haya, sio tu kuendelea kuwakandamiza, na hata wanapowakandamiza watajigamba kuwa CHADEMA hawako tayari kuendesha nchi kwa vikosa vya kipuuzi puuzi kama hivi wanvyofanya bila ya kuchokozwa na yeyote.
Kama ameliliwa na demu mmoja basi hana issue. Ndiyo maana hata uwanjani kulijaa watoto wa shule za msingi. CCM kwa kweli hamkubaliki, yaani hata misiba mnabeba watu kwa malori!!?
Mliona nyomi ya mapokezi ya Lisu? Hiyo ni ishara mbaya Sana kwa Magu. Mwambieni kama anaowajengea flyover (wanaDSM) wamemkataa, itakuwaje kwa wale wa Katavi ?
"Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!"
Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema:
"Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo"
Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko vizuri. Visiki vya mpingo vipo. Changamoto ni kukaa chini na kujipanga.
Ikumbukwe kuwa pamoja na yote, Barrack Obama pekee na Democrats, asingeliona Ikulu ya Whitehouse bila ya gwiji huyu kama 'chief strategist' wake:
David Axelrod (political consultant) - Wikipedia
Kwamba Lissu alirudi jana salama na kufika nyumbani kwa hali ya amani vile, si bure. Kongole kwake na ma strategists wake. Wako vizuri ila mechi ndiyo hiyo inaendelea.
...
Apumzike mzee wetu Rais mstaafu hayati Mkapa.
Mungu ibariki Tanzania.
Wakati mwingine, najiuliza kama CHADEMA wana "chief strategist" wakupanga jinsi ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu ujao au wanategemea shambulio la Lissu ndiyo agenda. Rejea matokeo ya chaguzi za marudio ya ubunge CHADEMA ilivyotumia shambulio la Lissu kama agenda wakambulia patupu, hata kwenye jimbo la uchaguzi la Lissu mwenyewe.
Pengine tujikumbushe na kuchambua matukio ya ujio wa Lissu na kuaga kitaifa marehemu Ben Mkapa leo uwanjawa Uhuru.
Polisi waliacha kuingilia msafara wa mapokezi ya Lissu. Wenye hekima na busara tulitegemea busara na hekima ya kuheshimu msiba wa kitaifa, vitawale maamuzi ya viongozi wa CHADEMA, lakini wao wakaona ndiyo fursa ya kuonesha dunia kuwa Lissu anapendwa na WaTz.
Leo Viongozi wa CHADEMA walizuiwa kuingia Uwanja wa Uhuru kichama kuaga mwili wa marehemu Mkapa ila kwa mmoja mmoja kuingia kama raia wa kawaida, kwa kuwa tayari mgeni rasmi, ambaye ni Rais, alikuwa ameingia. Kama siyo kutafuta kiki ya kisiasa basi ulikuwa ni uamuzi wa hovyo.
Je, katika mazingira hayo ni kweli Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee kwa CHADEMA?
Uzuri wa JF, hakuna kitu kilichowahi kuandikwa humu hupotea.Mkuu umedadavua vyema.
Kama ilivyokuwa katika bandiko hili:
View attachment 1519932
Composition ya team inabidi kuwa timilifu.
Kupatikane chief strategist wa maana aweke mambo yote sawa.
Ya kukimbizana na polisi hayana tija.
Muda wa ku focus kwenye targets.