Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Ninakusoma. Ni wakati muafaka wa makamanda kubadilika. Vinginevyo ni kutuangusha wananchi.
Strategists walipaswa kujua kwa usahihi kabisa pasi na shaka, hali ingekuwa vipi wakifika vipi Uhuru.
2015, strategist wa maana alipaswa kuyaona hayo ya Lowassa na afya unayoyasema wakati ule.
Strategist wa maana atawatoa kwenye uanaharakati kwenda kwenye chama cha kushika Dola.
Ukweli mchungu, ni hapa tulipopishana na kina Sumaye, Lowassa na wengi ambao wangependelea zaidi siasa za kistaarabu.
Tunaweza kupata tunachotaka bila kupambana na kina mamboleo wala bila kuwa na tume huru.
Kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. Siamini kama Lissu na risks zote na exposure yote, na hata ile rejeaaji kuwa hayajui hayo.
Believe me wale jamaa zetu wamenuna kweli kweli.
Ngoma inaweza kunoga bado. Tusimnyanyapae kachero mbobezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeguswa penyewe unabaki ku haha tyuuuh, mwaka huu mtanyooshwa hadi akili ziwakae msieeeewSiku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Uzuri wa JF, hakuna kitu kilichowahi kuandikwa humu hupotea.
Hili jambo la kuwasihi CHADEMA wawe na watu wenye utaalam katika mambo mbalimbali yanayoweza kuwasaidia katika juhudi zao tulishayaandika sana humu mara nyingi tu, tena tukiwashauri watumie kiasi cha ruzuku kufanya kazi hizo.
Hata nina shaka kama kuna watu wanaowatuma kuingia humu kuchota tu fikra za wachangiaji mbalimbali na kuziweka kwenye mpangilio ili wazifanyie kazi. Waliomo humu wanaodai ni wanachama au wapenzi wa CHADEMA wao wanajipigia yao tu, na nadhani hawana lolote wanalolifikisha kwenye chama ili liwe la msaada!
Jambo linalojitokeza baada ya baadhi ya mambowanayofanya kujionyesha ni kuwa hawana mpangilio wowote ndani ya chama. Ni kama kila mtu anajipigia tu, bora liende.
Kuna wakati, nadhani ni enzi za Dr Mhogo, walionyesha dalili nzuri za kuwa na idara maalum zilizokuwa zikishughulikia mambo kwa ufanisi kila walipotakiwa kushughulikia. Naona Mashinji aliharibu kila kitu alipochukua mikoba.
Hv ndugu yako kawe yuko wap cku hiz?
Unapoanza kuchanganya siasa za Marekani na Tanzania hapo ndipo unapoanza kwa kukosea, kama siasa zetu zingekuwa sawa na zile za Marekani leo nina hakika Chadema, au chama kingine chochote cha upinzani kama NCCR Mageuzi 1995 wangekuwa ikulu.
Hapa hakuna suala la strategy of whichever kind as you think you know, Membe in particular like I believe he is simply a no brainer to me.
The only and best strategy is for the voters themselves to wake up, not let their decisions in the ballot box get dilluted by any means, and if they try to do so, the voters should be ready to walk away with someone's nose immidiately, no messing around here, hapa hakuna manager wa timu, players wala nani mwingine.
Mbona unajishusha gredi kuwazungumzia akina Sumaye hapa. Nilidhani unaelewa mambo kiasi fulani!Haya ndiyo yaliyowakatisha tamaa possibly akina Sumaye.
Mbona unajishusha gredi kuwazungumzia akina Sumaye hapa. Nilidhani unaelewa mambo kiasi fulani!
.Makamanda tuwe tayari kusikia hata machungu yatufikiayo kwa nia njema wakuu.
.
Unanipachika 'ukamanda' umeniona wapi nimevaa gwanda?
Lakini si hapo uliponi'quote' umelielekeza kwangu moja kwa moja?Kama ulidhani limeelekezwa kwako utakuwa umejipendekeza bure mkuu, rejea title na contents zote.
Kila hilo usilolitaka lilipotajwa limeelekezwa accordingly kwao.
Hadithi nyingine WAJAMENI, inabidi ukawasimulie walevi unaowanunulia kinywaji, hao pamoja na huyo DEMU wako ndio watakusikiliza kwa makini na kukushangilia.Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
We shall overcome.Unapoanza kuchanganya siasa za Marekani na Tanzania hapo ndipo unapoanza kwa kukosea, kama siasa zetu zingekuwa sawa na zile za Marekani leo nina hakika Chadema, au chama kingine chochote cha upinzani kama NCCR Mageuzi 1995 wangekuwa ikulu.
Hapa hakuna suala la strategy of whichever kind as you think you know, Membe in particular like I believe he is simply a no brainer to me.
The only and best strategy is for the voters themselves to wake up, not let their decisions in the ballot box get dilluted by any means, and if they try to do so, the voters should be ready to walk away with someone's nose immidiately, no messing around here, hapa hakuna manager wa timu, players wala nani mwingine.
Lakini si hapo uliponi'quote' umelielekeza kwangu moja kwa moja?
We shall overcome.Unapoanza kuchanganya siasa za Marekani na Tanzania hapo ndipo unapoanza kwa kukosea, kama siasa zetu zingekuwa sawa na zile za Marekani leo nina hakika Chadema, au chama kingine chochote cha upinzani kama NCCR Mageuzi 1995 wangekuwa ikulu.
Hapa hakuna suala la strategy of whichever kind as you think you know, Membe in particular like I believe he is simply a no brainer to me.
The only and best strategy is for the voters themselves to wake up, not let their decisions in the ballot box get dilluted by any means, and if they try to do so, the voters should be ready to walk away with someone's nose immidiately, no messing around here, hapa hakuna manager wa timu, players wala nani mwingine.
Sina muda wa kupoteza na upuuzi.Kiwango cha chini kabisa kupata kutokea.
Totally wrong and off point.
Shule kidogo:
So long as what is called a "kiambishi awali" "u" or "m" is not used (in Swahili), whatever follows has nothing to do with you. However, if you think otherwise, the best I can say is, congratulations Mr. Ignorant!
'U'nasema - that is you.
'M'nasema - that is you and somebody.
'M'jinga - that is rightly you.
"Tu"naweza - you are not included.
"Wa"o - you are not included.
"Makamanda" (name) - that is them who goes by that name, you are not included, if that is not your name or you don't identify rightly so by yourself.
"Mataga" (name) - that is them, Synonymous reference to the name "Makamanda."
Kagua mabandiko yangu yote, jombi. Ni kutokujitendea haki miye kuku address wewe!
By the way, who the hell are you?
Sina muda wa kupoteza na upuuzi.
Bashite hujawahi kuwa na akili hata mara moja propaganda za kichina peleka karomijeSiku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Kwa mtazamo wangu, siasa zetu hapa tulipofikia hazihitaji "chief strategist" kwa ajili ya kumpeleka fulani ikulu kama ulivyotolea mfano wa Marekani.
Kwetu kwanza tunahitaji "chief strategist" kwa ajili ya kutuwezesha tuipate Katiba Mpya, ili angalau tuwe sawa/ karibiane kidemokrasia kama wamarekani.
Baada ya hapo ndio tufuate hatua ya pili wanayoifanya wao Marekani, kutafuta "chief strategist" kwa ajili ya kuwawezesha individuals kwenda ikulu, lakini kwa sasa bado tupo nyuma, tusilazimishe kufanya kama wamarekani wakati mazingira yetu na wao kisiasa hayafanani.