Ushauri wa bure : usijaribu kwenda kupima HIV/UKIMWI kama hujajipanga kiakili.

Kuna wakati nliendaga nchi moja
Kwenye moja ya process yao ilikuwa lzima nifanye medical checkup
Ambayo wanakucheki hadi ngoma
Lakini kidume nlijilipuaaa
Alafu syo unaenda wewe tu kupima
Wao ndy wana ku direct uende kwa mtu wao hapa anakufanyia
Tulikuwa watu 5 kati ya 5,watu 4 walisanda
Ni kwli unachosema kupima ngoma usikurupuke

Ova
 
Mimi nilikuwaga nacho enzi za ubarobaro mh..kalikaa ndani maana kila nikitakupima jasho linanitoka nakarudisha kwenye brifcase siku moja nilisema liwalo na liwe nikapiga castle lager zangu nyingiii nikawa chakari nikasema sasa ngoja nipime dah nikjichoma freshi nikaweka kidude sala zote nilisali huku kijasho kinanitoka ...nashukuru kumbe kidude kilisha expire niliruka ruka kule ndani..mpaka leo sijawahi pima na mke na watoto kadhaa.
 
Chai na ramazan yotee hii mkuu
poa mkuu chaii

labda namna yangu ya kuandika unaona imekaa kimasikhara...mimi siyo mwandishi mzuri

ila main topic hapo nadhani umeelewa....usipime kwa surprise
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimecheka sanaaa, mimi ilinikuta mwaka jana mtoto nilimuelewa nikataka kuoa kabisa mwanzo kabisa nikaingiza wazo la kupima akakubali lakini mimi nilietoa wazo nikaanza kutetemeka bahati nzuri majibu yakaja fresh akaniamini sana, tukaendelea na process zingine(za ndoa).
 
hili suala ni la machozi,jasho na damu
 
hongera sana ndugu

kupima ngoma siyo mchezo jamani,watu hawajui tu
 
Reactions: R.K
Ukiamwi unao pima tena baada ya miezi sita 😝😝😝😝
 
Siku hizi mikoani ukienda Hospitali,Zahanati,Kituo cha afya cha Umma hupati huduma mpaka wakupime VVU.Kwa hiyo maandalizi ni muhimu.Yote kwa yote papuchi ziliwe kwa protective gear (zana),,Wazee zana zinazuia endapo zinatumika ipasavyo.Tukishindwa kabisa Tuwe waaminifu au tuachane na habari za papuchi.
 
kuacha unaachaje bro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…