Ushauri wa Bure: Wamiliki wa Radio Clouds FM ya Dar es salaam

Ni kweli hakuna haja ya kuficha.Unakuta mtangazaji anaelezea hisia zake au matusi hadharani bila aibu.Kwa mfano kipindi cha Kibonde nawenzie wakati mwingine wanaongea mambo ya chumbani bila aibu au wanajadili siasa na kuwataja wanasiasa wa vyama bila aibu hii au soni.Saa nyingine wanatekenyana na kutongozana hadharani ! sasa hiyo taasisi au mali zao binafsi hao watangazaji hawana heshima hata kidogo ! jee wakurugenzi mnapenda matusi hayo ? mbona mko kimya ? hawa watangazaji wanawapaka choo sana kwa taarifa yenu ! sisi wasikilizaji hatuhitaji matusi yao au kutongozana kwao au kusikia habari za mabibi au mabwana zao ! tunataka habari zatakazotusisimua na kutufurahisha.
 
Gadner mwenyewe ni mwanaume kama binti

loveness love kinaliwa na ma model eti kinajifanya diva diva my ass......

Dina marious anagawa kama hana akili nzuri

b 12 na mchomvu wametembeza ududu kwa mabinti wa ifm.... Kama hawana akili nzuri

huyo boss wao kawala watoto wa tht akisaidiwa na watangazaji wake ..... Yaani ni full ngono na ufuska....
 
wanapaswa kuzingatia ushauri kwa kweli mie sikuhizi napata shida kusikiliza hasa wanapojadili mambo ya msingi wao ni upuuzi kwenye mambo ya msingi hasa huyo Kibonde kama jina lake
 
wanapaswa kuzingatia ushauri kwa kweli mie sikuhizi napata shida kusikiliza hasa wanapojadili mambo ya msingi wao ni upuuzi kwenye mambo ya msingi hasa huyo Kibonde kama jina lake

Huwa wanasikilza? Lakini nadhani kama si wao lakini jamaa zao wanapita humu nadhani ujumbe utafika.
 

I stand 2b corrected, nijuavyo mimi b12 na Mchomvu ni m2 m1?
 
:glasses-nerdy:Ndio maana tunatune clouds kwa kuwa sio kila kitu ni kawaida. Asante kwa kuliona hili. Big up :shut-mouth:
 
Mi nazani kwa mtu anyesema KIBONDE yuko sawa kabisa .....kwani yeye anaforce hisia zake watu wazifuate hata kama ni uongo ...........ila kwa wale wa asubuhi kweli wanajitahidi kwani walipoondoka wakna kipanya tulizani watashindwa ila wameproove safi ...ila kile kipindi cha saa tatu ...total mess ...........hakina maadili ni uhuni mtupu ,ushambenga ,all nosense ......hebu angalieni kumbuka kama sasa wakati wa likizo vijana wetu wako nyumbani nini wanajifunza ....wat kind ....am not happy with all
 
kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo
 
Loveness diva this very time anawapa ushauri akina sisters jinsi ya ku avoid "PLAYERS" what a load of crap!!!!!
 


Mkuu naona uliisoma hiyo post kwa hasira maana sijaona mahali amesema clouds ni redio mbaya
 


Naona mkuu unatoka nje ya mada watu wengi kujaa kwenye fiesta ijumaa hakuhusiani na hoja aliypitoa radio producer.
 
Jamani hata CCM walikuwa wanapuuza hivyo hivyo nakujiona kama ndo mwisho wa kila kitu lakini si unaona kilichoanza kujitokeza? waangalie na utamaduni wa mtz bana.
 
Nimepitia maoni ya wanaJF na nakubaliana na ntoa hoja.
Kwa kifupi KIBONDE anaboa
 

sidhani mawazo yako ni sahihi. Utofauti wa kupotosha hao vijana ndio kujivua gamba? ukweli ni kwamba ushauri uliyotolewa na huyo "mtaalamu" ni sahihi. Hakuna juhuru usiokuwa na mipaka na chombop chochote cha habari kinasajiliwa baada ya kukubali kwamba kitatizmiza masharti muhimu yakiwemo kuhakikisha kwamba hakipotoshi jamii katika suala zima la maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…