Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
- Thread starter
- #81
Na ndio ninavofanya, nilipohisi simuelewi nilibadili station, isipokuwa haya yalikuwa maoni yangu na nafikiri hapa nina uhuru wa kutoa maoni ama? Mbona mkali mkuu ama una hisa Clouds?
Inawezekana anafanyakazi hapo na ni mmoja wa hayo madude yanayotakiwa yang'oke! mimi ni nimemwambia ole wake nikutane naye hapo clouds kwa mtitindo hiyo habaki mtu! kijana kama uko hapo anza kuandaa njia mapema!