Ushauri wa Bure: Wamiliki wa Radio Clouds FM ya Dar es salaam

Here we go again! Another Clouds FM unsolicited advice thread.

There is one thing in life that I have come to learn and that is: if people are talking about you and they are talking about you a lot, that means you are doing something right.

How come day in and day out there has to be a thread about Clouds? Just think about it for a minute. Why not Times FM or Radio One or any other radio station for that matter? Why just Clouds?

The answer is simple. Clouds FM is doing it. Y'all can say what y'all want to say but Clouds FM are doing their damn thing. They have found the formula for success and they are going hard in the paint.

There is absolutely nothing wrong with their format or their programming. They have their own audience that they cater to. So if you find yourself not liking what they broadcast just know that maybe you aren't one of the targeted audiences.

And it beats how people continue to cry about them whilst there are plenty of other radio stations in town and throughout the country. It just beats me, for real! If you don't like their programming then that's fine. Just change the dial.
 
wewe kusaga atakuwa basha wako tu.....usione clouds kipapa kinakuwasha
 
Bora labda wewe ukiyewachana kizung watakusikiliza
 
Mkuu umenena, hawajamaa wanatabia ya kuendesha na mambo ya msimu. maadili ziro, matusi na lugha chafu 100. Joseph Kusaga pepeta management ikae sawa. Ruge Mutahaba ni walewale hana msimamo.
 
Kwa mtu mwenye kuelewa maana na umuhimu wa feedback kwa media hawezi kuwa na idea kama hii: Radio clouds ni radio iliyojuu sana na inafanyavizuri lakini imeharibikiwa maadili, kakuwa ina nguvuuu, lazima tuwaeleze ili wasituchalie jamii!
 
Mkuu wengine wanadhani tunaiponda hakuna hata hivyo! wakipenda wachukue ushuri wakikataa poa
 
Hakuna wafanyacho Clouds ambacho kipo kinyume na sheria za nchi zinazoongoza vyombo vya habari na mawasiliano.

Kama mnazungumzia maadili basi hilo ni jambo jingine. Nendeni kwanza mkafunge hayo mabaa yote ambayo ni viota vya ufuska na uasherati. Kamateni hao Malaya wote wanaojiuza barabarani na mitaani. Wameenea kila kona ya jiji. Msiishie hapo tu, pia kamateni na mfungilie mbali hao wanunuzi wa hizo huduma zao. Nao muwashikishe adabu zao kwa kuwafungilia mbali na kuwatandika viboko juu yake.

Mabaa yameenea kila kona bila hata mpangilio maalumu. Unakuta shule hapa na pembeni yake kuna baa. Vitoto vya shule vikitoka shule vinapitia hapo kula vichipsi. Halafu nyinyi hapa mnazungumzia maadili? Hebu nipeni orodha na mifano ya hayo maadili ambayo Clouds FM inayavunja.
 
Kama kawaida yetu waswahili ushauri wa kuboresha unatolewa watu watu wanaishia kusema wanaonewa wivu!!
 
Kwa mtu mwenye kuelewa maana na umuhimu wa feedback kwa media hawezi kuwa na idea kama hii: Radio clouds ni radio iliyojuu sana na inafanyavizuri lakini imeharibikiwa maadili, kakuwa ina nguvuuu, lazima tuwaeleze ili wasituchalie jamii!

Hivi ni maadili gani wewe unayoyazungumzia? Na wewe ndo polisi wa hayo maadili? Hebu acha zako hizo wewe. Kila mtu ana maadili yake bana. Kama Clouds hawaendi kinyume na sheria za utangazaji basi mimi sina ubaya nao.

Ila wewe kama unapenda sana maadili basi sikiliza redio zile za kanisa. Si zipo? Sina uhakika na za misikiti. Kama zipo unaweza uka tune in huko. Tuache sisi na Clouds yetu.
 
Kama kawaida yetu waswahili ushauri wa kuboresha unatolewa watu watu wanaishia kusema wanaonewa wivu!!

Hivi hapa ni Clouds FM au ni JF? Naona kama vile huo ushauri ambao haujaombwa umepotea njia. Badala ya kwenda Clouds FM umekuja JF!!!
 
Mkuu,

Yapo mengi yanayoletwa hapa jamvini yasiyohusiana na JF...Kama mtoa mada alivyosema, ushauri huu unaweza kupotezewa tu hamna noma!
 
Du mshikaji una elimu gani? Maana concept hapo ni rahisi tu. Ninaposema kwenda kinyume na kawaida au kukiuka sheria au kanuni za kiutendaji si maanishi kukiuka sheria za nchi. Labda nikueleweshe hayo mawazo yako yote ni kile wazungu wanaita mawazo ndani ya box, hapo kila aliye ndani ya box anakuwa sawa tu na mwingine lakini kuna posibilities nje ya box ambazo zitaweza kukutofautisha na wenzako sasa kuzifuata hizo tofauti nje ya box ndio kuvunja sheria. Kumbuka watu wote duniani waliofanikiwa kuna misingi fulani ya kawaida waliivunja. Kama mawazo yako yangekuwa ndio njia ya mafanikio nadhani Clouds wangekuwa ni redio isiyokuwa na nguvu kabisa lakini kwa kuwa hayo mawazo yako ni 'kawaida' tu na mafanikio ni kutoka nje ya kawaida leo hii Clouds ni powerful movement hapa TZ na itaendelea kuwa hivyo hadi hapo wengine watakapo achana na mawazo mgando kama yako. PS achana na masuala ya kukariri hebu shirikisha ubongo wa kuzalisha wazo jipya.

True,it does make sense!
 
Mkuu,

Yapo mengi yanayoletwa hapa jamvini yasiyohusiana na JF...Kama mtoa mada alivyosema, ushauri huu unaweza kupotezewa tu hamna noma!

Mtu kama ana nia ya dhati na ushauri wake basi hana budi kuupeleka huo ushauri wake huko kunakohusika – ambako ni Clouds FM. Sasa anauleta hapa ili iweje? Kwani Kusaga ni mwanachama wa JF? Vitu vingine ni kutumia akili ya kawaida tu.

Au kwani hao Clouds anwani yao haijulikani?
 
Mapenzi mema na nchi wapi pelekeni huko umbeya wenu, mafanikio ya wenzenu kwenu imekuwa ni kero. Hamuwezi kuwaacha vijana wafanye kazi zao kila siku Clouds hivi Kibonde vile. Hovyo radio producer unakaa kuproduce umbeya tu siku utavalishwa shanga hapa mjini, na hiyo roho yako utaendelea kusota hadi unakufa masikini wa roho mkubwa. Wewe huo ushauri wako kwa nini usojipe mwenyewe njoo hapa fungua redio tuone maana huo mtaji wenyewe kwa wewe mbeba mabox haukushindi. Yaani mijitu kama wewe hata siku haiwezi kufanikiwa.

wewe mbona,maelezo yako ya chuki mkuu,inamaana kinachokukasirisha ni radio? Au uproducer wa jamaa? Au wewe kukosa uzalendo,au unashinikiza iwe redio pendwa kwa matusi ya kuvaa shang? Mbona meseji inaeleweka au umeandika ukiwa umekatwa kichwa.na wewe toa hoja za kuisifia hiyo redio tuzichambue.sio kutukana.
 
jamani hata mie nilikuwa na ushauri wa muhimu sana kwa clouds fm..maana ndio radio pekee inayopendwa kwa nguvu zote na vijana na wazee wa kesho...basi tunaona pia ni busara kuwashauri ili hilo "taifa la kesho" liwe kweli taifa la tanzania la kesho.. na sio taifa la watanzania wa-mbele wa kesho kina new-lil wizzy kina gucci mainne, kina lady gaga kina nik minaj, kina drake etc...

na hii clouds tv ndio kabsaaaa... hata watoto wa shule na waalimu wooote wanatupia-swagga kiasi kwamba dent na ticha full minyukano ya swagga... si ndo dogo janja akatia maguu kwa wajeda wa hapo makongo akaleta swagga acha achezee mikonzi ya mjeda ticha wake..

anyway..NIPENI NAMBA YA JK WA CLOUDS NIMPE MPANGO-MKAKATI WA KUTUZALISHIA VIJANA TAIFA LA KESHO LA KINA nyerere, che-guevara, patric lumumba, kwame nkrumah, mugabe, gaddafi, malcom x, rosa park, mkwawa, kinjekitile ngwale, etc.... NI MAONI TUU WADAU NOTHING PERSONAL
 
Mbona hwa Clouds wanasema wapo online lakini hawasikiki?
 
Hakuna wafanyacho Clouds ambacho kipo kinyume na sheria za nchi zinazoongoza vyombo vya habari na mawasiliano.

Kama mnazungumzia maadili basi hilo ni jambo jingine. Nendeni kwanza mkafunge hayo mabaa yote ambayo ni viota vya ufuska na uasherati. Kamateni hao Malaya wote wanaojiuza barabarani na mitaani. Wameenea kila kona ya jiji. Msiishie hapo tu, pia kamateni na mfungilie mbali hao wanunuzi wa hizo huduma zao. Nao muwashikishe adabu zao kwa kuwafungilia mbali na kuwatandika viboko juu yake.

Mabaa yameenea kila kona bila hata mpangilio maalumu. Unakuta shule hapa na pembeni yake kuna baa. Vitoto vya shule vikitoka shule vinapitia hapo kula vichipsi. Halafu nyinyi hapa mnazungumzia maadili? Hebu nipeni orodha na mifano ya hayo maadili ambayo Clouds FM inayavunja.

Kwanza wangeanzia hapahapa JF kurekebisha hayo maadili, hakuna sehemu maadili yametupwa kama hapa matusi ni lugha ya kawaida, kashfa na fitna ndio mahala pake. Kama hiyo haitoshi kuna jukwaa maalum kabisa la ngono ambalo hakuna jinsi ya kuhakikisha umri wa wanaoingia huko. Hata hivyo wamiliki wa JF na watumiaji wameendelea kulitumia jukwaa la mambo ya kikubwa huku wakitambua sheria za nchi hazi ruhusu mapicha hayo. Sasa mtu kama anataka kurekebisha maadili arekebishe hapa kwanza.
 
Sawia kabisa. Wanafiki wakubwa hawa. Kule kwenye jukwaa la ngono hakuna uthibitishaji wa umri. Unachofanya ni kujiunga tu na JF halafu unamtumia Invisible PM kumuomba kujiunga.

Kwa hiyo kabisa naweza kuwa na umri wa miaka 15 na nikawa niko kule. Halafu wapo hapa wanaongelea maadili. Wanashangaza sana hawa watu. Halafu ni maadili gani, kwa mfano, ya kubandika picha za watu halafu na kuanza kuwachamba?

Kama wanazungumzia maadili waanzie kwanza hapahapa. Wamshauri Max afungilie mbali lile jukwaa la ngono. Wakimaliza hapo, wawe wanazichunga threads zote zinazokashifu watu kwa sababu kashfa na zenyewe si sehemu ya maadili bora.
 
Back
Top Bottom