Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 680
kumeibuka sana tabia ya ajabu humu jamvini ya watu wachache kuponda baadhi ya vyuo na kusifu baadhi ya vyuo bila kutoa sababu zinazoeleweka.siamini kuwa mtu aliefika chuo kikuu alieonja UE bado awe na fikra mgando kuwa jina la chuo linaweza likamtoa au kumuongezea GPA kiukweli mimi binafsi tabia hii inanikera sana kwasababu kuna first year baadhi wanaweza kusoma vyuo vyao walivochaguliwa na kuona wamepondewa na kinaonekana hakifai na wakavunjika moyo.kiukweli hiii tabia si nzuri na kusifia chuo eti chuo hiki kina ma geneous eti vyuo vingine ni vilaza wapo si kauli ya busara wote tunajua kuna TCU ina husika na vyuo na kuhakiki ubora wa vyuo na chuo hakianzishwi kama sekondari lazima kuwe na vigezo,sasa kuita chuo haukijui ubora wake unakiita cha kata kisa unasikiaga si vizuri kama msomi,UKISOMA USIPOKUWA NA BUSARA UTAPATA KAZI SANA KUISHI NA WATU na KAMA UNAONA KUWA WEWE UMECHAGULIWA KWENYE GENEOUS UNIVERSITY nenda halafu ukalale usisome kama haujapata sap za kutosha na ukishangaa uta disco tuna yajua yote hayo sababu tumepita huko wasomi wenzangu.....
FIRST YEAR
usihadaike na mbwebwe za baadhi ya watu wasio na uwezo mpana wa kufikiri na kuona kuwa umechaguliwa kwenye chuo cha majiniaz na u relax utakuwa umekalia kuti kavu ukipingwa sapu kuwa makini na usihadaike na kupondwa we piga msuli chuo kilichothibitishwa na TCU ni chuo chenye ubora we waache waponde mwisho mtakutana kwenye soko la ajira
NAWASILISHA