M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 1,509 Reaction score 2,499 Oct 20, 2025 #21 Hakuna maandamano yakusumbua nchi. Hao watanganyika wa namna hiyo bado hawajazaliwa. Siku wakiona nchi yao inaongozwa vibaya basi hakutakuwa na waku2ahamasisha maandamano ila wenyewe wataandamana.
Hakuna maandamano yakusumbua nchi. Hao watanganyika wa namna hiyo bado hawajazaliwa. Siku wakiona nchi yao inaongozwa vibaya basi hakutakuwa na waku2ahamasisha maandamano ila wenyewe wataandamana.
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 9,818 Reaction score 14,585 Mar 30, 2026 #22 Stuxnet said: Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'. View attachment 3490712 Click to expand... RIP Bwege, ulikuwa mzalendo kwa nchi yako
Stuxnet said: Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'. View attachment 3490712 Click to expand... RIP Bwege, ulikuwa mzalendo kwa nchi yako