Ushauri wa Bwege kwa wanaotaka kuandamana 29/25

Hakuna maandamano yakusumbua nchi.

Hao watanganyika wa namna hiyo bado hawajazaliwa.

Siku wakiona nchi yao inaongozwa vibaya basi hakutakuwa na waku2ahamasisha maandamano ila wenyewe wataandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…