Baeleze, Baelewe!.Mta mkiungana ccm tutashinda mapema asubuhi
Mkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya pamoja Muungeni mkono mgombea Urais wao na mgawane majimbo ya Ubunge.
E ndelea kujilisha upepoMkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.
Kwa Bernard Membe, the time is now or never, usimchuuze at 70 ndio aje kugombea!, he would stand no chances at all!, kwasababu hata 2025, ZZK mwenyewe anaingia ulingoni!.
P
Mimi ni chadema, usije ukaingia choo cha kike kuhisi nipo upande wa wenu.Baeleze, Baelewe!.
P
Inaelekea husomi alama za nyakati na hunitakii nchi mema baada ya wewe kupigwa spana.Mkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.
Kwa Bernard Membe, the time is now or never, usimchuuze at 70 ndio aje kugombea!, he would stand no chances at all!, kwasababu hata 2025, ZZK mwenyewe anaingia ulingoni!.
P
Wajumbe walichokutenda KAWE hutokuja kusahau weweMkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.
Kwa Bernard Membe, the time is now or never, usimchuuze at 70 ndio aje kugombea!, he would stand no chances at all!, kwasababu hata 2025, ZZK mwenyewe anaingia ulingoni!.
P
Mta mkiungana ccm tutashinda mapema asubuhi
Kwa nchi yetu ya wananchi wengi wasiojielewa dola itaendelea kuwakanyaga miaka yote.Kwa kujitangazia ushindi kwa nguvu ya dola na si ya umma. Hata hivyo, dola haijawahi kuushinda umma siku zote!
Membe hawezi kuingia mtego wa kumalizana,yeye hajakuja upinzani kuhimarisha upinzani,yeye amekuja kuchukuwa urais kupitia upinzani full stop.Hana tofauti na Lowassa wala Nyarandu wote ni kuchukua madaraka walionyimwa na CCM.Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya pamoja Muungeni mkono mgombea Urais wao na mgawane majimbo ya Ubunge.
Umri wako baada ya miaka 10 utakua na miaka zaidi ya 70 kama sikosei, bado utakua na nafasi ya kugombea Urais na ukafanikiwa ikiwa Tundu Lissu atafanikiwa awamu hii akupe nafasi muhimu katika Wizara zake mfanya kazi kwa pamoja kwa kutumia sera za vyama vyote viwili. Baada ya miaka 10 ijayo panapo majaliwa ya Mola CHADEMA wawe tayari kukupa kijiti kwa unyenyekevu mkubwa kabisa. Kwa sasa vumilia isitoe aibu kama walivyofanya mzee EDO na mwenzake kurudi CCM.
KUMBUKA HESABU HII
100X1= 100
100÷2=50
Duh...!, kumbe hujui watu tofauti wamejaaliwa uwezo tofauti wa kusahau, depending na malengo ya kugombea. Kama unaamini wagombea wote 176 wa Kawe, kila mmoja wao aliutaka ubunge wa Kawe, then ni kweli kila iliyapata kura sifuri na kura moja, hawatasahau, lakini wale wagombea wa kimkakati kwa malengo mengine, ile tuu kuvaa sare ya CCM na kugombea, hata kwa kura sifuri!, malengo yametimia!.Wajumbe walichokutenda KAWE hutokuja kusahau wewe
Time is the best judge!. Yaani NEC iogope kumkata mtu kwasababu ni maarufu saaana!, anapendwa saaana na watu!. Wait and see!.Inaelekea husomi alama za nyakati na hunitakii nchi mema baada ya wewe kupigwa spana.
NEC kwa busara zao hawawezi kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kumuengua Lissu!!