Ushauri wa fasta fasta

Ushauri wa fasta fasta

BT wala sikuwa nimerudiana nae! Alikuwa bado anabembeleza turudiane. Lol I cant anymore!!!
sasa kama u cant, unaomba ushauri wa nini?
toa picha zako kwenye camera yake then mrudishie camera yake bila kuongelea hilo
 
Kwanza nini kisa cha wewe na yeye kugombana na kuachana, pili nani aliyekuwa chanzo cha kutengana kwenu, tatu nani aliyeanza kusuluhisha na kufanya muanze kurudiana maana isije ikawa ni tamaa zenu za miili ndiyo inafanya mrudiane, jichunguze kwanza,fikiria maisha yako ya baadae, tafuta jibu nini itakuwa mustakabali wa uhusiano wenu pindi mkishakuwa pamoja
 
then mshukuru Mungu wako kwa kukufunulia yaliyo sirini..... Chapa lapa hapo....

Thanks to God kwani ningemsamehe nirudiane nae sijui nini kingenipata, lol mwanaume mshamba ni mzigo!
 
kwahiyo alimfanya huyo mwanamke hadi akaamua kumchukua picha za uchi...nyie wanawake mbona mnajirahisisha kiasi hicho? yaani mtu anakuchukua picha ukiwa uchi na wewe unamruhusu tu, tena kwa kamera, ingekuwa simu ningesema ulikuwa hujui kama anakuchukua...kwako wewe uliyezikuta picha, nakushauri tafuta mwanauem mwingine, huyo atakusababishia pressure ufe mapema bure....
 
labda alikuwa anaigiza movie...nothing serious teh teh
 
NOTE:Tulikuwa tumeachana toka mwaka jana mwanzoni, but kifupi we were in the process kurudiana.

Hakuna kesi hapo hasa iwapo picha/clip ina tarehe za nyuma kabla mchakato wa kurudiana haujaanza.Hujiulizi kwa nini alikupa ilhali kuna clip ya utupu ndani?

Pili ni tabia ya mbwa pekee kula MATAPISHI yake. Ulisahau kumfanyia nini hadi umekumbuka kurudi kukifanya? kuondolea kufuli la mtandao wa tiGO?

Lipia gharama za huduma zake kwako.
 
Back
Top Bottom