wakuu habari zenu ?
kama nilivyo andika hapo juu
Naomba ushauri wa gari hiyo ya mizigo fuso fighter 4 tone uzuri wake na ubaya wake ..nataka kuifanyia kazi dodoma to dar.asanteni
16 au 17? Hizo tani 4 ni huko kwao, huku kwetu fuso inabeba tani 10 ikiwa kawaida, tandam inabeba mpaka 18... Ni gari ya kazi haswa, ila sasa bei yake imechangamka unaweza kutamani ununue horse ya DAF tu ukilinganisha bei.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.