ushauri wa haraka jamani unahitajika


vipi uchakachuzi walishaufanya, kama ndiyo je uislamu unaruhusu
 
Hiyo inasaidia kama wote mko tayari , asa huyu binti nadhani hampendi mshkaji ndio maana anasisitiza hilo haliwezekani


atakua hana nia na jamaa ndio maana anamzingua hivyo . huyo mshkaji atafute kitu mpya
 
Aaa huyu jamaa kicheche tu wala hana kitu ............... we unaona mwanamke mwenzio anafanywa spare tyre afu unasema sijui hujui umshauri vipi ......... haijatulia hiyo.... huyu atakuwa kama fisi ataka huku na kule mwishowe akose kote. Hawapendi wote .......... kama angependa, kubadili dini sio issue akiwemo na yeye ..........
 
sunshine..

Habari yako inanipa shida kidogo naona kama kuna kitu inamiss, maana umezungumzia kwamba dada wa kiislamu aligoma kuolewa na jamaa akaanzisha mahusiano mengine, ila sioni sehemu kama umesema bado wanaendelea au kama wameshaachana, yangu ni haya;

  1. Kwanza kabisa kuyo dogo aache kumchezeea huyo binti aliye naye sasa, kama hampendi kwani sio fair kwa huyo dada
  2. pili mapenzi hayana dini na ukiona mtu anafanya hivyo ujue penzi lake sio pomoni, love has no limit na watu wengi wamevuka mipaka kama kweli wanapendana, na huyo dada wa kiislamu inavyoonekana hampendi jamaa na dio maana wakaseparate, if they were truely in love; they would continue bila kuoana
  3. Tatu,je huyo binti wa kiislamu ana mtu mwingine?
  4. Najisikia vibaya sana they guy is in dilemma lakini tufahamu kwamba mara nyingi mtu anapokutema kuna nafsi inakataa na waweza kuta huyo dogo hayo mapenzi ni ile fighting spirit aliyonayo ya never say die.... he may be disappointed wakikutana tena
  5. sielewi my friend Rose80 ameshauri vipi hayo ya bomani yanakujaje wakati hata consensus haijafikiwa kati ya the lovebirds
Ushauri tu kwako, ukianza na "wale akina fulani wasichangie" inakua haileti environment nzuri, na pia nimeona unasema ushauri wa haraka unahitajika... politeness is Nobel dada

ni vyema ungeweza kutumia paragraph nk.

Ukavalumbya vosi
 

Huyo jamaa hana budi,bali ni kubali dini kuwa muislam kama kweli anania .laukama itakua tatizo kwake bas aombe kutoa hoja.
 
Kuna wengine wanatumia njia ya kujazana mimba...hii inawashinikiza wazazi wakubali ndoa katika form yoyote....ila at your own risk...

Yes i support that indirectly, ili afanikiwe ambembeleze ampige mimba then atakubali tu, hawezi vunja huo muungano wa Tanganyika na Zanz
 

Maneno ya msingi sana hayo. Mhusika inampasa ajiulize kama yuko in love or in a fight.
 
Maneno ya msingi sana hayo. Mhusika inampasa ajiulize kama yuko in love or in a fight.
mkuu... ni kweli, mara nyingi utaona mwanamke au mwanaume anapigania the fading love kweli, halafu baadae akisha let-go huwa anajiuliza "hivi nilikua nahangaikia nini na yule "f@la" ... eish

tumeumbwa kupambana... the boy needs to move on, as love is sooo natural
 
Kama hampendi huyo mwanamke aliyenaye kwa sasa ni bora amwambie mapema asiendelee kumpotezea mwenzake muda, na kuhusu huyo mwanamke anayempenda akubali tu kuwa huyo mwanamke hampendi ki hivyo, kwasababu wazazi hawahusiki na ndoa za watoto wao, kama huyo mwanamke angejua kwamba huyo ni mwanaume wa maisha yake asingekuwa na hivyo visingizio, wazazi watabaki kuwa wazazi no matter what, hiyo ni mikwara ya wazazi ambao ni selfish wasiojali happiness za watoto wao. Kama kweli huyo dada angekuwa anampenda angeamua wafunge ndoa wazazi watakasirika lakini baadae watarudi kwenye mstari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…