sunshine..
Habari yako inanipa shida kidogo naona kama kuna kitu inamiss, maana umezungumzia kwamba dada wa kiislamu aligoma kuolewa na jamaa akaanzisha mahusiano mengine, ila sioni sehemu kama umesema bado wanaendelea au kama wameshaachana, yangu ni haya;
- Kwanza kabisa kuyo dogo aache kumchezeea huyo binti aliye naye sasa, kama hampendi kwani sio fair kwa huyo dada
- pili mapenzi hayana dini na ukiona mtu anafanya hivyo ujue penzi lake sio pomoni, love has no limit na watu wengi wamevuka mipaka kama kweli wanapendana, na huyo dada wa kiislamu inavyoonekana hampendi jamaa na dio maana wakaseparate, if they were truely in love; they would continue bila kuoana
- Tatu,je huyo binti wa kiislamu ana mtu mwingine?
- Najisikia vibaya sana they guy is in dilemma lakini tufahamu kwamba mara nyingi mtu anapokutema kuna nafsi inakataa na waweza kuta huyo dogo hayo mapenzi ni ile fighting spirit aliyonayo ya never say die.... he may be disappointed wakikutana tena
- sielewi my friend Rose80 ameshauri vipi hayo ya bomani yanakujaje wakati hata consensus haijafikiwa kati ya the lovebirds
Ushauri tu kwako, ukianza na "wale akina fulani wasichangie" inakua haileti environment nzuri, na pia nimeona unasema ushauri wa haraka unahitajika... politeness is Nobel dada
ni vyema ungeweza kutumia paragraph nk.
Ukavalumbya vosi