Ushauri wa haraka jamani

Ushauri wa haraka jamani

karume kenge

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
568
Reaction score
421
Habar wanajamvi juzi mida ya jion nimekaa na jamaa yangu ananipa story alikua na apointment na dem wake jpil jion bac bwana jamaa kapiga cm weeee mwanamke hapokei jamaa akaona isiwe tabu wacha nijikate home ndio nishapigwa nishakalia benc mana mpaka dakika tisini si yanga wala simba

Basi bwana jumatatu demu wake kampigia simu akiwa na majonz tele na kumuomba samahan kibao ila mkasa ulikua hivi baada ya kutoka kanisan karud nyumban yeye anakaa na mtoto wa kaka yake mwenye umri wa miaka 17 yule bint alikua analalamika sana tumbo linamuuma saana

Basi wakampeleka kupima katika vipimo wakashuru bora wapime na mimba hamadi bint ana ujauzito wa mwezi mmoja ikawa ni mshtuko mkubwa na pasipo kutarajia wakarudi nyumban wakambana sana binti pamoja na vipigo vya haja kwa muda wa siku tatu maneno ya bint anasema yy hajawah kufanya mapenzi toka amezaliwa na hajui maana ya mapenzi mbali ya yote yy bado ni bikira

Ikawa ni mshtuko mkubwa sana wakaona isiwe tabu jumapili wakarud tena hospital kupima kama kweli ni bikira au uongo wa bint kweli baada ya vipimo bint ni bikira na juu ya yote hakuna shahawa ya mwanaume yyt iliyowahi kupita kwenye uke wa bint

Ikawa ni mshituko kwa doctor na watu wengine walokuwepo hapo na manes na vilio kwa wengine ss huyu bint anasema bora ampeleke kwenye maombi akaombewe je mimba itatoka na je akimuacha azae hicho kitatoka kiumbe gani na akitoka mtu atakua na baba gan binafs mimi nilimshaur atoe mimba sasa wadau msaada na ishaur hii story si ya kutunga ni ukweli mtupu kama huna ushaur tafadhal kaa kimya
 
Kwa uandishi huu nakuomba usile boom linalipiwa siku hizi!!
 
Kuna mwanajf mmoja aliomba tuwe wavumilivu kipindi hiki. Shule zimeanza kufungwa. Nimeamini!
 
Yesu II anakaribia kuzaliwa Dar es salaam....ila upo uwezekano wA kuwepo na sensa ya makazi ambapo kila mtu itamlazimu kwenda kijijini kwao ilipo asili yake na kwao na huyo binti ni Bukoba, pale kijini kwao nyumba yao ilipomolewa na tetemeko na ili MAANDIKO yatimie huyo binto ataenda kujistiri kwenye glosali ya hapo jirani na ndipo huyo mtoto Yesu atazaliwa!
 
Pengine alitumia choo cha kukalia ambacho mtu alikuwa amedondosha mbegu za kiume au hata kujipangusia taulo la dada yake....nawaza tu wakuu( mwalimu wangu wa bailojia aliwahi kusema hivyo ila alikuwa amelewa)
 
Ivi ule utafiti wa mmoja kati ya wanne haunaga tiba??
 
Uwezekano wa kushika mimba bila kuingiliwa kimwili upo ila pale tu binti anapokuwa katika siku zake za hatari alafu akajipangusia vitu ambavyo vinachembe chembe za shahawa za mwanaume kama taulo, kitambaa au kutumia chombo chenye majimaji ya mbegu za kiume kwa kuogea. Na zingine nazo zaweza kuwa sababu as long as she came into contact with men's sperms
 
Back
Top Bottom