Naomba ushauri juu ya afya ya mzee mwenye tatizo la sudden heart attack ambayo hutokea mara nyingi saa kumi jion na saa kumi alfajiri na kumpelekea kushindwa kupumua na kuhangaika sana hospitali wamepima mfumo wa moyo wanasema hana matatizo eneo hilo ushauri tafadhali ili tuokoe maisha: