sahihiZote hizo ni budget phones tofauti ni majina tu ndugu. Yeyote utayochukua ni sawa tu.
Chukua infinix maana spare zake nyingi. Hata ikileta hitilafu haitakugharimu sana kurekibisha.Hapo infinix ndio ilikuwa hitimisho langu ila imebidi niombe tu ushauri
Sasa hapo nichukue ipi mkuu?
ShukraniChukua hiyo yenye helio G70 itakua na nguvu kidogo kuliko hiyo yenye helio G35
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Spares imekuwa gari!Chukua infinix maana spare zake nyingi. Hata ikileta hitilafu haitakugharimu sana kurekibisha.
SPARE = a duplicate part to replace a lost or damaged part of a machine/gadget.Spares imekuwa gari!
Asante mkuu.SPARE = a duplicate part to replace a lost or damaged part of a machine/gadget.
ukihitaji tafsiri ya kiswahili nijulishe pia.
athari ya kwenda garage moja kwa moja baada ya kumaliza darasa la saba, mnaishia kukariri neno kuwa na maana moja tu.
Bajeti ni isizidi tu 300kKwa hizo mbili infinix ni nzuri zaidi. Sema kama budget inafika 280,000 tafuta Redmi 9 (na sio 9C) yenyewe ni simu nzuri zaidi.
Ipo pia Samsung A03 (na sio A3s ama A3 core) nayo inapatikana bei hizo hizo ni simu nzuri nayo.
Tigoshop Walikua nazo mkuu.Bajeti ni isizidi tu 300k
Redmi 9 nimetafuta hapa bongo sijui hamna
Halafu kuna wapigaji pia yaani huko madukani kila mtu na bei yakeππππ