Ushauri wa haraka na Dharura wadau

Ushauri wa haraka na Dharura wadau

mwaka 2019 nikaomba tena ajira Serikalini na kupangiwa kituo cha kazi kwenye halmashauri tofauti na ile ya awali hivyo huko sikuambulia chochote zaidi ya kupoteza raslimali na Muda wangu.
Maana hapo nilipambana na kumsihi HR aniombee kibali cha kuendelea kutumia check na kwa Katibu Mkuu Utumishi na alikubali japo bado naendelea kufuatilia lakini bado ninapambana na mishe za kitaa nazo ndiyo hivyo nikizichanga kiasi zinaibuka changamoto zilizo juu ya uwezo wangu napoteza kila senti ninaanza moja

Hizi aya mbili zinakinzana au?lete maelezo kisha hitimisha unataka usaidiwe nini
 
Hakuna aliefanikiwa bila kupoteza kinachotutofautisha; Ni mmoja anakata tamaa na mwingine anajifunza na kusonga mbele kwa kutumia uzoefu alioupata awali.

Ukifocus na jambo moja kwa muda mrefu automatic unakuwa genius kwenye hiyo tasnia.

Nakushauri kamwe usikate tamaa, tambua njia ngumu ndo yenye mafanikio. Ajira iwe option ya mwisho focus kwanza kwenye hiyo business ambayo ulifeli.

Jifunze kuwazia wengine yaliyo mema na utende pia kwa dhati hakika mema yatakurudia pia. Hii ni kanuni ya ulimwengu na amri kuu ya Mungu(Upendo).

Nakutakia kila la heri Mkuu.
 
Mkuu naomba Kama hutojari nipigie tupige soga ww tunaendana vitu vingi

Mimi mwenyewe ni mwalimu nimeacha kazi baada ya kuona malipo hayaendani na mazingira niliyokuwapo Ila nilikuwa na mtaji wa Kama 10m ukapukutikia kwenye kilimo saivi nimekuwa nikiipambana Ila najikuta narudi Tena ground lakini sikati tamaa , matumaini nayaona mbele na hio Hali unayopitia nimewahi pitia na naipitia ukizingatia Mimi na watu wa nyumbani Sina sapoti yoyote so napambana navojua na kitu kingine clue nyingi za marafiki naopata naona hawana future kama niliyonayo na mm hivohivo kupoteza 500k kwa mwezi ni kawaida Ila ningepata mtu mwenye Nia ya dhati kutoboa ajira hazina maana yoyote
Mnataka kukutana muanzishe chama cha waliorogwa sio
 
mwaka 2019 nikaomba tena ajira Serikalini na kupangiwa kituo cha kazi kwenye halmashauri tofauti na ile ya awali hivyo huko sikuambulia chochote zaidi ya kupoteza raslimali na Muda wangu.
Maana hapo nilipambana na kumsihi HR aniombee kibali cha kuendelea kutumia check na kwa Katibu Mkuu Utumishi na alikubali japo bado naendelea kufuatilia lakini bado ninapambana na mishe za kitaa nazo ndiyo hivyo nikizichanga kiasi zinaibuka changamoto zilizo juu ya uwezo wangu napoteza kila senti ninaanza moja

Hizi aya mbili zinakinzana au?lete maelezo kisha hitimisha unataka usaidiwe nini
hazikinzani zipo wazi
ni kwamba sasa tangu july 2020 hadi sasa bado nangojea majibu ya maombi ya kurudishwa kwenye Payroll kama itakubalika au la,
hivyo nipo na endelea kusubiri
 
Wewe hujashawishika na wazee wa Forever Living ukaacha kazi yako ya kwanza?
Tupe sababu ya kuacha kazi yako ya kwanza ili tujue tukusaidieje
Tatizo lilikuwa la Kifamilia nilikuwa nauguza Mzazi wangu
 
Naomba niulize swali dogo tu,
Hivi umeoa? Kama jibu ni hapana basi hapo ndipo pa kuanzia,
Unajuwa mungu kuna mda anabeba baraka zako anazitua kwa mke au mtoto kwa walio oa nadhani watakuwa wananielrwa vizuri,
Yaani ukiwa kijana utahangaika ujuavyo lakini wapi kila unacho kigusa akisogei but unapoamua kufumba macho katika hali ngumu na ukaamua kuoa tu utashangaa baraka unazikimbia mwenyewe mpaka unakosa pa kuziweka, au umepata mtoto tu michingo inamiminika mpaka unajuta why sikuoa mapema ningekuwa mbali sana,
Lakini jambo la mwisho mkiwa wawili ndani ya nyumba kila mmoja anakuwa na mawazo tofauti ambayo mawazo hayo mkiyachanganya pamija basi mtapata kitu kipya/njia mpya ya kutatua makosa.
𝐔𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐚𝐮 𝐮𝐤𝐚𝐩𝐮𝐮𝐳𝐢𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐢𝐬 𝐮𝐩 𝐭𝐨 𝐔
 
Ni lakini hadi upate mke mwenye baraka, unaweza ukaoa mke mwenye laana na maisha yako yakaharibika kabisa
 
Nikutie moyo usiangalie ulichopeteza ni kidogo Sana, Mimi binafsi hadi sasa nimepoteza jumla ya milioni 250 katika utafutaji, jumla ya project 15 nimefanya nikaambulia hasara hio still sijakata tamaa zitarudi zaidi ya hizo. Changamoto ni mtaji wa kukuvusha kuliko bora zaidi. Zipo mbinu rahisi za kufanikiwa na kufungua baraka zako.
 
Back
Top Bottom