hata hivo sio pesa mkuu kwa maana ni tv ilipasuka kioo sasa gharama ya kioo ni 150 hivoNunua kifaa mkali.
Hafu mteja analipwaje pesa? Si umeharibu kifaa chake, mlipe kifaa.
hapana mkuu kwanza mm huwa najisikia amani sana kumlipa mteja ili kila mtu abaki na amani yake ila hii kidogo imekuwa ngumu ndo maana nikaomba ushauriSema mafundi hamtabiriki unaweza kupewa chance ndo ukaingia mitini
Komaa mdogo mdogo 150k inaweza ikaingia ndani ya 2 days. Fix kifaa life liendeleehata hivo sio pesa mkuu kwa maana ni tv ilipasuka kioo sasa gharama ya kioo ni 150 hivo
Acha mambo ya uswahili na ubabaishaji. Lipa deni la watu kwa wakati mliokubaliana ili kujijengea imani na uaminifu. Hayo mambo ya kuharibikiwa kifaa hayahusiani na deni unalodaiwa.Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6.
Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150.
Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi kwa sababu asilimia 70 ya kazi nakitumia
Je? nitumie hiyo hela kununua kifaa hili deni ninalodeiwa ni majanga tu ya ofisini kifaa cha mteja kikafa hivo nikamuahidi kumlipa.
Niko njiapanda.
Poleni pia machawa kaa maumivu ya kunyimwa kombe.
Ila poleni zaidi vijana kwa sababu hamkua na chaguo la kuwakataa waleta mikosi.
Husika na kichwa cha habari hapo juu.