Ushauri wa haraka please

tembaisdor

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
29
Reaction score
8
Nina rafiki yangu anaolewa jumamosi, na baada ya harusi wanakwenda honeymoon, tatizo linalofanya kuomba ushauri ni kuwa anatarajia kuanza MP jumamosi hiyo hiyo, wasiwasi wake je ni namna gani atafurahia honeymoon yake huku yupo MP? je kuna dawa anaweza kunywa ili kuahirisha period kwa muda kidogo? maana maharusi walijipanga kweli kwa ajili ya honeymoon yako.
Msaada please.
 
Honeymoon is not all about sex, sex, and sex. There are other non sexual activities that married couples can indulge in and still enjoy their honeymoon to the fullest. However, if sex is the only thing you and your partner have in mind, then extending or postponing the honeymoon period are the best alternatives.
 
I am sick and tired of these efforts to manipulate nature! Ukimuuliza huyo rafikiyo kama ni bikira hamna kitu! Nenda fasebuku kule, leo nilikuwa najadili hii issue na daktari fulani. Mnapeana ushauri kunywa prescribed drugs ili mpate nafasi ya sex, mkipata shida ya hormones ama kukosa watoto mrudi eeh!
 

Naunga mkono hoja.
 
Habari zenu, naomba msaada nje ya hii topic
iwapo unagundua mtoto mwenye umri wa miaka kumi wa kiume, ameanza tabia ya kusikitisha ya kulawitiwa je anaweza kuaacha kwa njia zipi?
Hili jambo lipo katika familia fulani inayonihusu, kwamba tumegundua siku nne nyuma kuanzia leo na mwenyewe kakiri kuna mtu hamfahamu ambaye alikua akimtuma achuke pesa ndani kwa wazazi wake na kumpelekea na kisha anamuingiza kitu nyuma. mwanzo alikuwa akisikia maumivu lakini kwa sasa anasikia utamu na hataki kuacha hata apate kichapo cha kiasi gani, je kuna namna ya kunusuru balaa hili asiendelee nalo?

Msaada tafadhalini tupo katika mtihani mkubwa wana familia.:thinking:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…