tembaisdor
Member
- Sep 19, 2011
- 29
- 8
Nina rafiki yangu anaolewa jumamosi, na baada ya harusi wanakwenda honeymoon, tatizo linalofanya kuomba ushauri ni kuwa anatarajia kuanza MP jumamosi hiyo hiyo, wasiwasi wake je ni namna gani atafurahia honeymoon yake huku yupo MP? je kuna dawa anaweza kunywa ili kuahirisha period kwa muda kidogo? maana maharusi walijipanga kweli kwa ajili ya honeymoon yako.
Msaada please.
Msaada please.