ushauri wa haraka pleasee

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
nipo na shem wangu hapa alienda clinic kuchek ujauzito wake cause bado mwezi mmoja ajifungue kufika kule baada ya kupimwa nurse kamwambia mtoto ana kichwa kikubwa ajiandaee kusukuma kwa nguvu toka mida ile pale amekosa raha na amekuwa mtu wa kulia tuu. je ni kawaida kuwa hiyo hali???
 
Ni kawaida kulia tu ukiwa majonzi au mtoto kuwa na kichwa kikubwa kipi ulichomaanisha wewe?
 
Huyo nesi mzushi............analia shem kwasababu ya majonzi na kujiona anazaa mtoto mwenye kasoro.sasa kazi kwenu ..... kumpa moyo na faraja .
 
Asiogope na wala asiwe na mawazo. Mwambie shem ajiandae kwa furaha na amani. Mtoto lazima aje. Na wala si kama nesi alivyosema ila kama Mungua alivyoahidi.
Kuweni na amani.
 
aende hospitali nyingine maana inaelekea huyo nesi anachuki binafsi...hiyo kauli yake ni very unethical
 
Hivi ethics za Udaktari zilizingatiwa kweli kumwambia Mjamzito kuwa kichanga chake kina Kichwa kikubwa?
 
Yaani ilikuwaje hayo majibu yakatolewa na nurse?! Akamuone gynecologist kwenye hosp inayoeleweka atapewa ushauri mzuri. Hiyo hali ya huzuni sio nzuri kwa mtoto pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…