Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
nipo na shem wangu hapa alienda clinic kuchek ujauzito wake cause bado mwezi mmoja ajifungue kufika kule baada ya kupimwa nurse kamwambia mtoto ana kichwa kikubwa ajiandaee kusukuma kwa nguvu toka mida ile pale amekosa raha na amekuwa mtu wa kulia tuu. je ni kawaida kuwa hiyo hali???