Wanajamii hapa kuna swala linatatiza kidogo.Kuna bwana mdogo amechaguliwa Course ya Enviromental Planning and Management IRDP na alikuwa anabackground nzuri kwenye GIS (kwa miaka minne) na ana diploma ya Cartography .Swali kwa wazoefu wa mambo hivi akienda kusoma kozi ya Enviromental Planning atakuwa kwenye right choice na je future yake imekaaje.Maana alikuwa anataka kuomba transfer aende ARDHI University akasome GEOINFORMATICS kozi ana diploma ya Cartography ila kabla hajachukua hatua alitaka mawazo kutoka kwa wazoefu wa mambo humu ndani. Asante