Ushauri wa haraka

Ushauri wa haraka

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
 
Achane nae mademu wapo kibao
Wamejazana duniani
Tafuta mwngne tyu
 
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!

Amekwambia ukweli kwa nini umng’ang’anie?
Tafuta wa kwako ili usije kujisababishia matatizo bure
 
Bro wanawake wote hawa duniani unababaika na huyo,,achana nae utaumia kdg lakin utapoa usije kutafuta janga
 
Usiwaharibie watu mahusiano yao, ila kwanini mpuzi anakukatalia baada ya yeye kushtukiwa na "my love" wake, ila pita mbali, waache kwenye uhusiano wao, kasake wa kwako.
 
Habarini! Kuna msichana nilimtupia voko wiki chache zilizopita, tulikuwa tuna-chat na alionesha kuanza kunielewa. Sasa jana usiku kanitumia hiyo text, kuna mtu mwenye experience na hili? Mimi nipo chuo kikuu na yeye pia yupo chuo kikuu.

"My love kajua n mm sihitj nimuache ndy kila kitu kwang please mm sitk mahusihn n ww ten nielew tuu hvy saw n sihitj uniulz kw nn uwe n maish yako mema"

Naombeni maoni yenu katika hili, nimpotezee au niendelee? Pia mtu wake kanitisha sana!
Inaonekana mko choo kikuu siyo chuo kwa uandishi huu na kutokuelewa hiyo msg.
 
Back
Top Bottom