Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imeshazidi mara saba
arrroooo mwenzio ana mastress,embu mtulize usimchanganye na mabombastic au ka vipi mwambie Loreen aniPM.Sasa kama huwezi kumuacha ushauriwe nini tena?
Kilichobaki ni wewe kumvumilia na kuendelea kumpenda.
Au unaweza ukaacha kumpenda ili usione ugumu kumuacha.
Funguka ili usaidiwe, anakutendaje? Ni nani yako? Mkeo/mumeo, mchumba, hawara, etc etc etc. Amekutendaje? Unajua kushauri jambo ni lazima ujue undani wake. Sasa kama kosa hatulijui, hatujui pia ni nani kwako, tutakushauri nini? unabakia tu kusema unampenda sana, naye amekutenda sana, na kumwacha unashindwa. Naona utoto unakusumbua ukikua utaacha.habarini,nampenda sana ila ananitenda sana na kumwacha nashindwa nifanyaje, ushauri tafadhali!