Tafuta consultant wanaohusika na mawazo ya miradi ya kilimo na ufugaji naamini unaweza kupata mwangaza zaidi kuhusu project yako.
Kilimo kinatofautiana kati ya mikoa na mikoa, mazao na mazao hata nchi kwa nchi.
kweli kabisa mkuu but nafikiri ni favourable climate. Maana kila zao linapenda hali yake ya hewa. Mahindi yanaweza yasistawi pwani lakini muhogo, ufuta nanasi vikastawi vizuri tu. Achague anataka mazao gani pia kautafiti jirani wanalima nini.