Ushauri wa hii project ya kilimo

Ushauri wa hii project ya kilimo

SHAIDI

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
291
Reaction score
141
Habari wakuu;
Naomba ushauri ni vitu gani (hints) za muhimu wakatiwa kuanzisha project za kilimo, natanguliza shukrani
 
Tafuta consultant wanaohusika na mawazo ya miradi ya kilimo na ufugaji naamini unaweza kupata mwangaza zaidi kuhusu project yako.
Kilimo kinatofautiana kati ya mikoa na mikoa, mazao na mazao hata nchi kwa nchi.
 
1. mtaji
2. soko
3. reliable climate

kweli kabisa mkuu but nafikiri ni favourable climate. Maana kila zao linapenda hali yake ya hewa. Mahindi yanaweza yasistawi pwani lakini muhogo, ufuta nanasi vikastawi vizuri tu. Achague anataka mazao gani pia kautafiti jirani wanalima nini.
 
Back
Top Bottom