Ushauri wa kiafya tafadhali wanajamvi wenzangu

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
406
Reaction score
116
Habari za majukumu wakuu. Samahani kuna tatizo linanisumbua kwa muda wa mwez m1 sasa, Ninapatwa na joto la ghafla mwili mzima na kutokwa na jasho jingi hali hyo inapojitokeza, maranyingi hutokea mchana na hata usiku pia nikiwa usingizini najikuta nimeloa jasho kichwani n maeneo ya kifua, lkn pia ninapata maumivu ya tumbo pembeni mwa kitovu yanashuka hadi kwenye mapaja na hata kwenye uume km vile kiungua fulani hivi.

Nimejaribu kufanya vipimo vya kiafya km vile choo kubwa, haja ndogo(kipimo kikubwa) na HIV lkn majibu yanakuja negative, kisukari pia iko normal 4.4.

Nmepewa madawa ya kumeza lkn tatzo linazikuongezeka hd mwingine najisikia kutapika lkn sitapiki. Juzi jmosi nipimwa kwenye maabara moja huko mkoani ndo wakakuta nina minyoo aina ya ascaris na kichocho, pia walikuta UTI, nilipewa madawa naendelea kuyatumia lkn bado cjapata kupona vyema.

Sasa swali ni kwamba, kichocho na minyoo hiyo ndo yanaweza kunisababisha matatzo hayo niliyoyataja hapo juu au kuna kitu kingine chaweza kuwa source (chanzo)?

Ushauri wenu ni wa muhimi sana kwangu.
 
pole aise naona hawajakujibu nilisikia mgomo WA madaktari unaanza upya...naona umeanzia jf
 
Ahsante. madoctor JF, ushauri wenu tafadhali!!
 
...pole sana mkuu "Onguluo". Bandiko lako ungeliweka kwenye Jukwaa la "JF Doctor"
kuna Wataalum wengi wa AFYA' natumaini utasaidiwa haraka sana, kuliko hapo kwenye HOJA MCHANGANYIKO!

"JF Doctors" kuna jamaa kaanzisha thread ya ushari wa AFYA yenye kichwa habari Karibuni wanaohitaji ushauri
wa kiafya na maswali kuhusu afya


Anaitwa; Dr. Wansegamila mPM labda anaweza kukusaidia.

*kuhusu Hospitali za mikoani' "ni kweli Hospitali nyingi za mikoani Madaktari wengi wako makini sana kuliko Dar', Hospitali nyingi hapa Dar wanatoa dawa zisizofaha na Madaktari wengi wa DSM ni feki, na wanapenda sana PESA"
 
Tayari umenasa mimba mkuu,kama ni Me mimba ya mkeo inakusumbua
 
nenda hospotali, kama una bima nenda regency
 
pole sana

umepata ugonjwa wa ascariasis ambapo usababishwa na specie anaitwa ascaris lumbricoide sasa ugonjwa huo hupelekea magonjwa yafwatayo
1.abnorminal pain
2.pneumonia like conditions
3.haemorrhagic pneumonia
4.intestine obstruction



kwa case ya kichocho kuna vichocho vya aina mbili cha mkojo na hajakubwa(schistosomiasis mansoni anda haemotibium

magonjwa ambatanishi ni
1. malgnance of bladder
2.ulceration of urinary bladder
3.haematuria
4.swimmer itch

mama ujaelewa nitafute 0765650028 whatsaap au piga
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…